Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, November 4, 2009

Are you addicted to Cars?...


Well, I AM!!!
Siku zote nionapo aina ya gari nizipendazo I go like daaaaaaaaamn!!! Napenda sana magari. Pichani me na mdau Codynino at a car show, and down below is some electric cars. Beautiful!! But Range Rover is my most favorite car at all time.


24 maoni / comments:

Anonymous said...

unajua kila mtu ana addiction yake some shoes, bags na vingine.as usual umependeza dada yangu plus ur husband too!!!!xx

Anonymous said...

U look gorgeous TK with dat outfit kumbe una leglineee oooh mamamaaa mia Tk Mamamaaaa anatesa Mamamaaaa waache wachonge ila wewe kifaa kam wanauwezo wakuface wakwambie sio wanaongea na Pc zao nimemnukuuu Mamaa Garder "JD",Wewe uko juu kama nyota kama wanaweza shika nyota basi watakushika na wewe Tk horiyaah bibi haihusu,Nice Complexion,body ,na uleg bibi upo

Anonymous said...

Just fall in love........ mean da shoezzzzz

Anonymous said...

Asante TKC,
prove them wrong!! keep it up!!

MAROGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
WATASHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA


disminder

Anonymous said...

jamaani mmependeza sana ..enjoy life na Codynino wako maana mmeendana sana

Anonymous said...

TEDDY BEAUTIFUL LADY OF ALL THE TIME WENYE WIVU KAZI KWAKO INAHUUUUU?

DARCITY said...

so u like pretty carz!!!!! good to know!

mdau fin said...

yaani TK unaniudhi we mtoto!! ndo nini kupendeza hivi jamani?!! baby ur rocking..... luv the look:)

Anonymous said...

Simple and lovelly winky umetulia Gorgeous wewewewewewewe kama mbwai mbwai bana

Anonymous said...

yeah u goo girl do ur thing m soo in love with cars as well...u luk absolutely stunning and ur hubby as too...bless u

Anonymous said...

U always look gorgeous without makeup NIMEJUA tu hujapaka kitu kwenye hiyo picha...sum ppl looks so ugly without fake eyelashes and make up. just FAKE!!

Anonymous said...

TK unajua nakupenda sana? nimekua nikikufatilia kitambo.unaonekana unatabia nzuri sana.moyo mzuri. please don't change!

Anonymous said...

Wee mtoto mzuri sana, ndo mana mijitu mingine wivu hadi makwapani..

dadaako

Anonymous said...

mtoto una mguuu no KIMBWISIIIIIIIIIIIIIIII

Anonymous said...

Looooh!My Diva hana roho ya ndala huyooo dat iz TK bwana ,Wajua roho ya ndala wewe babeee wa Hollywood aka Mamtoni kumbe anakukubali uko juuu Mammtoni hahahahhaha TK hata TZ Mamtoni just a joke oky .....ka sweet six nyonyo saa 6 mguu unalipa hauna kona kama spring za bike.......

Anonymous said...

Umpendeza sanaaaaaaaaaa love the tow of u mpo natural kabsia nawapendeni.

mdau Holland

Anonymous said...

miss vimbwisi angupata huo mguu
tungekufa hahaha

na mumewe angekuwa mzuri tungeshaaa

acha tu alilie kuolewa na mzungu ili asizae kinyani tena

mama mwajuma ndala ndefu a.k.a kafie mbele a.k.a vimbwisiiiiiiiiiii

Anonymous said...

Kwi kwi kwi,mboni mambo hiyo kali ya miguu kupinda kaa spring za baiskeli, watapiga debe sana, keep working on your dream gal.
wao yawashinda huyo BI kidevu wa manchest', kwanza kadampiwa na sokwe mtu wake wa ufaransa, kutwa kutuma vicoment kwenye liblog lao la manzese,umpandie ndege nani? Kajifunze kuoga hovyoooo, ushoga wa social network huo, kukurupuka tu, vimbwisiii anawavutia time.kwikwi

Anonymous said...

tk hujazaa bado unamuita mtoto wa mwenzio nyani?huyo mtoto ana baba yake na dnugu zake huoni unatengeneza beef na frank machozi sasa?mjina sana wewe

Anonymous said...

mmh sasa naona nikuanza kutukaniana baba zenu na mama zenu waliokufa

Anonymous said...

wewe anony unaesema tk kamuita mtoto wa watu nyani kwani yeye ndio anaecomment humu?acha upuuzi wewe!ni wadau ndio wanaocomment..this is the price that miss vimbwisi na haters wengine wote have to pay kwa kututukania dada yetu na bado.Najua yamemchoma sana tu/

Anonymous said...

..they reeally have to pay kwa kweli ,
alivyomtukana TK na ndugu yake kwani yeye haijamuumaa???

au TK ana moyo wa chuma??

Au ndo ukweli unauma??

tena unamuuma sana sababu alimzushia mwenzie ni uongo na uzushi mtupu

mi simpendi kwa uongo uongo sijui kasoma nini .. usikute alikuwa anadesa sana chuo kikuu no wonder computer science ilimshinda
mfyonyoooooooo
...mbavuuuuuuuuuuu

na hii kama hajaandika manjano au kidefu au vimbwisi mwenyewe..

Anonymous said...

Hongera mdogo wangu TK... jamani wabongo wasione mwenzao anapiga hatua viroho vinawauma kweli. Ndio maana mie toka niondeoke Dar es salaam late 1980s sijarudi tena. Wabongo nuksi kweli

MXDTHINGZ said...

Girl..you just dont know how much Iam in love with Range Rovers.. they are my alltime Favorite cars too..

Total Knockout Search!!

Custom Search