Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, June 10, 2009

SP: Pole Sana dada Getrude Alex Kwa Kufiwa na Mzazi wako...

Mungu ampunzishe baba yako kwa amani.

1 maoni / comments:

joar said...

pole sana mfiwa.
inauma saana mtu unapoondokewa na kipenzi cha moyo wako:-(
lakini ni vitu 2 tu tunavyovijua for sure hapa duniani.
1.KUZALIWA
2.KUFA.
na hatuwezi kupingana navyo, ni kumshukuru Mungu kwani yeye alimpenda zaidi.
Mungu azilaze roho za marehem wote mahali pema peponi( mama na baba yangu:()
mdau
rose/isabelle

Total Knockout Search!!

Custom Search