
Hili ni jambo kubwa, tena kubwa sana!!! Anastaili pongezi!!!
The Grizzlies selected Thabeet with the second overall pick in the 2009 NBA Draft. "Official!!!"...
Hongera sana sana sanaaaaaa!... Total Knockout crew inashiriki katika furaha yako! Sote twajivunia....
Dedication song-"mama I made it!!!! "... "I made it" by Jay Z.
Watu weweeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!
1 maoni / comments:
aminiaaaaa kila la kheri kwa kijana wetuuuu...pamoja
Post a Comment