Mou mou dress: Maskini, anatia huruma ehh!?...Pichani juzi akiwa amevalia kivazi cha mou mou na class pearls, alipokuwa mahakani kusikiliza kesi yake na mpenzie wa zamani Chris Brown.
Baada ya hapo mahakama iliwaamuru kukaa mbali from each other, wakati CB akiwa ndani ya probation ya miaka 5. Huku kesi ikiendelea, inatarajiwa kusomwa tena August 5 siku ambayo CB atahukumiwa:(
0 maoni / comments:
Post a Comment