Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, June 3, 2009

OMGNESS!...sikuiona hii...






















Tobaa!!!... Halle Berry na Jamie Foxx?!...tena Sagittarius na Leo,...mh! ni moto usiozimikaa!!!
Hawa lazima watakuwa wana"feel"iana, ni ngumu kuamini kama ni script tu halafu basi. jk lol!

Pichani weekend hii katika Spike TV’s 2009 “Guys Choice Awards”.

11 maoni / comments:

Anonymous said...

Yani simuelewi Halle Berry. Her hubby is SOOOO fine alafu she does this to him with...Jamie Foxx?Ew!

Anonymous said...

SHE MAKES ME H**** AND MAKES ME TOUCH MYSELF!!!!!!!!

cheryl said...

hi TK jaribu kupitia maneno kabla hujapost hewani badirisha (alafu) weka halafu naona unatatizo sana la a na ha usiwe ka lafuthi ya kusini mwa TZ. BUT THE BLOG IS HOOOOT....BIG UP

LaMbegu said...

Lucky bastard!!!!!!!!!

Anonymous said...

Okay..wat was this about?

Anonymous said...

Mchangiaji wa June 3 7:12, helle na mumewe walishaachana zamani sana, talaka kabisaaa... yaani hawako tena pamoja.. Pole kwa kumuonea huruma ndio kazi zao hizo... its holiwood baby! Ndio wanavyoendesha maisha yao hao jamani... NB: Msiwe touched na macelebrity kiivyo, kwasababu part ya maisha yao ni kuburudisha watu, sasa hatuna uhakiza sana kwamba mpaka wanayofanya kwenye private life zao ni burudani pia... They r so fake...ndio maana ndoa zao hazidumu mostly

Anonymous said...

Kuna flingz hapo sio bure, nimetamani ningekuwa mimi though Jamie sio mzuri kivile lakini anaonekana anayajua, namuonea wivu Halle

Anonymous said...

TK, nimeshachangia mara nyingi me nagombana sana na typing error zako, na kiswahili chako pia sio kizuri kuna matatizo...makosa ni mengi sana bwana rekebisha.. hata jina lako mwenyewe unaandika JK badala ya TK..si balaa hilo?

TK said...

Ninapoandika JK naamanisha "just kidding" na sio TK. Siku zote napenda kuandika "bwoy" badala ya "boy". Tatizo ni R na H which I am working on it...u know, mtoto wa Bara mie!!! Just try understanding my manjonjo of writing bby. No pain!

Gal-Girl
Boy-Bwoy
Lol-Laughing out loud
TK-Teddy Kalonga
Yay-is a word that used to express happiness or in conjunction with hand symbols to express size.

Anonymous said...

hahahaha huyo anon kadhani jk ni TK...That's toooo funny!LMAO kila mtu anajua just kidding(jk) duh kweli fikiri kabla ya respond!

Anonymous said...

And what's LMAO? Are u guys suggesting that you're so smart to know what all these "unnecessary" acronyms mean? I think you can be more smart than you are!

Total Knockout Search!!

Custom Search