Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, June 24, 2009

Minx Nails: Hujapaka, hujakucha!




Style ya kucha zinazotamba sasahivi US.

Kama unakumbuka vizuri, aina hii ya upakaji wa rangi ulikwepo miaka ya zamani na ilikuwa inapakwa na watu maalumu. Lakini sivyo kama ilivyo sasa, style zote ni full ki'rockstar!!!
Hujapaka, hujakucha!!!

0 maoni / comments:

Total Knockout Search!!

Custom Search