

Mengi, mengi, mengi ya kumkumbuka: Jamaa alikuwa anapiga pamba za kipekee...Collections alizovutiwa nazo zaidi; Balmain na Givenchy "vya kike".
Ubunifu, Uchezaji wake, vivazi vyake, staili yake ya nywele, sauti na uwimbaji wake.
Alipotoa single hata alipokuwa akitengeneza video bila yeye kuwemo, bado ilikuwa ikivuma.
Alikuwa wa pekee kabisaa... hata walioiga staili zake, walivuma!
0 maoni / comments:
Post a Comment