
Hii ndio hali ilivyokuwa jana mchana hapa Hollywood, muda mchache tu baada ya kutangazwa kwa kifo cha mwanamuziki mkubwa Michael Jackson.
Pichani dada wa marehemu MJ, LaToya akiwa UCLA hospital mwili ulipokuwa.
Video kutoka kwa mdau mkuu wa Total Knockout, alifanikiwa kukipata kipande hiki kupitia simu yake ya mkononi iphone.
0 maoni / comments:
Post a Comment