Pichani juu Kim K leo, na chini mdau mie kitaani nikitoka audition'nini and ofcoz with my new favorite Louis Vuitton Demier Canvas Neverfullbag. Yay!!!
Mpenzi wangu hiyo Louis vuiton nime imind sana darling wangu...na hako kajivazi chako kiko moto sana, ofcourse na kaumbo kako kakuchoma kumoyo si utani...huna neno darling wangu...mwaahhhh
Infact tumeina hiyo Louis Vuiton, Im preatty sure hapa Bongo ni wachache wanafuata. By the wayi umeinunua lini manake isije kuwa msimu wa 70% off. Manake hata mimi nimenunua ka rubber kangu ka Panther nikaamua kukeep original label
Hiii!! Mdau wa "JULY 1ST-2:50PM" nimetaka tu kukuelewesha kuwa LOUIS VUITTON ni designer pekee ambaye haweki vitu vyake kwenye sale rack (yaani huwezi ona 50%,or 30% au hiyo 70% unayoizungumzia wewe) unless unanua Louis Vuitton za barabarani darling...Hiyo pochi iliyobebwa na mdau Teddy inaitwa "DAMIER CANVAS-NERFULL" NENDA WWW.LOUISVUITTON.COM..UJIONEE.. Hii blog niyakueleweshana na mie nimechukua nafasi hii kukuelewesha tu darling... tupo pamoja, enjoy ur weekend..mwaahhh.
TK KUNA WATU HAWAPENDI MAENDELEO YA WATU, ACHANA NAO,,,WANAPENDA TU KUHARIBU SIKU NJEMA ZA WATU ...KASHAELEKEZA ETI "HAPA BONGOni wachache wanafuata. By the wayi umeinunua lini manake isije kuwa msimu wa 70% off. Manake hata mimi nimenunua ka rubber kangu ka Panther nikaamua kukeep original labe" NI WACHACHE WAELEVU WA VITU KAMA HIVYO. WAMEZOEA K'KOO VYA HANDBAG SH 15,000, WE SHARE THE SAME FILLING, NIKIENDA BONGO LIKIZO, HAWAACHI MASWALI, HAND BAG SAA,JEANS YAKO NZURI, UMENUNUA SH? UKIWATAJUA UTASIKIA MH AMEANZA KUTUFUNGA KAMBA, VINAUZWA K'KOO ELF 10 TENA VIMEMWAGWA CHINI....BINADAMU WANAMAUDHI, TK ACHANA NAO, USIKATE TAMAA NINAKUFAGILIA SANAA, DOREEN- NEW ZEALAND.
TATIZO BONGO WATU HAWAFUATI DISIGNERS!! KINA MWANAMBOKA WANA KAZI KWELI KWELI. KUWAVUTA WATU MPAKA WAELELWEEEEEEE
Nafanya kazi na rafiki yangu alikuwa anaishi UK about 35yrs back ndiyo karudi TZ. Kila kitu chake ni kwa designer na mpaka leo shopp anaenda UK. Ni same!! akitaja bei za vitu watu ofcn wanabaki kumuona kama muongo!!!! masifa
12 maoni / comments:
Teddy you look better than her!
Ahsante! Akisikia atamind.lol
Mpenzi wangu hiyo Louis vuiton nime imind sana darling wangu...na hako kajivazi chako kiko moto sana, ofcourse na kaumbo kako kakuchoma kumoyo si utani...huna neno darling wangu...mwaahhhh
Its me, your old neighbour.. :-}
hahahha nimekukubali wewe zaidi!!...keep it real baybeeee
jamani toto umenoga ile mbayaaaa...pokea buchu hilo m
muaaaahh
Infact tumeina hiyo Louis Vuiton, Im preatty sure hapa Bongo ni wachache wanafuata. By the wayi umeinunua lini manake isije kuwa msimu wa 70% off. Manake hata mimi nimenunua ka rubber kangu ka Panther nikaamua kukeep original label
Unatia huruma!...Coz u don't even know what u r talkin'about.
U should have done some research before leaving a comment.
PS: Send me ur email ad'nikutumie receipt. Nahisi macho yatakutoka.LOl!!!
Hiii!! Mdau wa "JULY 1ST-2:50PM" nimetaka tu kukuelewesha kuwa LOUIS VUITTON ni designer pekee ambaye haweki vitu vyake kwenye sale rack (yaani huwezi ona 50%,or 30% au hiyo 70% unayoizungumzia wewe) unless unanua Louis Vuitton za barabarani darling...Hiyo pochi iliyobebwa na mdau Teddy inaitwa "DAMIER CANVAS-NERFULL" NENDA WWW.LOUISVUITTON.COM..UJIONEE..
Hii blog niyakueleweshana na mie nimechukua nafasi hii kukuelewesha tu darling... tupo pamoja, enjoy ur weekend..mwaahhh.
MDAU........
VITU HIVI HUTOKEAGA SIO UTOKEAGA...UMEPENDEZA SANA MPENDWA.
TK KUNA WATU HAWAPENDI MAENDELEO YA WATU, ACHANA NAO,,,WANAPENDA TU KUHARIBU SIKU NJEMA ZA WATU ...KASHAELEKEZA ETI
"HAPA BONGOni wachache wanafuata. By the wayi umeinunua lini manake isije kuwa msimu wa 70% off. Manake hata mimi nimenunua ka rubber kangu ka Panther nikaamua kukeep original labe" NI WACHACHE WAELEVU WA VITU KAMA HIVYO. WAMEZOEA K'KOO VYA HANDBAG SH 15,000, WE SHARE THE SAME FILLING, NIKIENDA BONGO LIKIZO, HAWAACHI MASWALI, HAND BAG SAA,JEANS YAKO NZURI, UMENUNUA SH? UKIWATAJUA UTASIKIA MH AMEANZA KUTUFUNGA KAMBA, VINAUZWA K'KOO ELF 10 TENA VIMEMWAGWA CHINI....BINADAMU WANAMAUDHI, TK ACHANA NAO, USIKATE TAMAA NINAKUFAGILIA SANAA, DOREEN- NEW ZEALAND.
girl you look so sex i like the way you dress ma girl
I am Angel from Arusha one of your fans
TATIZO BONGO WATU HAWAFUATI DISIGNERS!! KINA MWANAMBOKA WANA KAZI KWELI KWELI.
KUWAVUTA WATU MPAKA WAELELWEEEEEEE
Nafanya kazi na rafiki yangu alikuwa anaishi UK about 35yrs back ndiyo karudi TZ.
Kila kitu chake ni kwa designer na mpaka leo shopp anaenda UK.
Ni same!! akitaja bei za vitu watu ofcn wanabaki kumuona kama muongo!!!! masifa
disminder
Post a Comment