Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Sunday, May 31, 2009

Yeeeeeah, it's a bwoy!


Mama wa Fashion Kimora Lee Simmons na mcheza cinema Djimon Hounsou, sasa wamekuwa baba na mama kikamilifu.

Leo Kimora ametangaza kwenye twitter kuwa, jana asubuhi ajifungua mtoto wa kiume! Kwa raha zaooooo:)!!!

8 maoni / comments:

shamim a.k.a Zeze said...

WOW!! I FEEL THIS LADY...NATAMANI NIMUONE MTOTO WAO...TENA ITS A BOY , I CAN IMAGINE THEIR HAPPINESS!!

Anonymous said...

mambo? mamii uwe unasoma vizuri comments zako kabla hujapost, unakuwa na vi-typing error kibao, kwa mfano hapo Boy umeandika bwoy, asu me ndo sijui chingereza sijui??? sijawahi kutoa comment ila leo natoa hiyo tu..otherwise uko fresh!!

Anonymous said...

i luv em cnt wait to see the point 5..na wewe tk nangoja wako naomba awe wa kike ili wangu amchumbie kwikwikwi(ni yule no.1 fan)

Anonymous said...

I cant wait to see the baby...such a cute combination.Ayoki sasa ataacha kudeka she is such a mumy's girl.......Congrats Kim!!You deserve it you are the best mother in the whole world

ck said...

Naomba nimuelekeze anonymous wa 5:08. Tk alivyoandika it's a bwoy ni manjonjo tu, coz hata ukisoma inasomeka kama boy but yenye manjonjo zaidi. This is not a formal website so manjonjo kama hayo yaruhusiwa..though sometimes kunakuwa na spelling errors ni hayo tu kwa leo.

Anonymous said...

Waiting wa kwako TK mungu akujalie upate wako ,Its funny kuitwa Mum ma lov ,Mungu awape matunda menda mema ,Plz forget not to pray TK koz haters nao wanakunenea mabaya siwajua lovelly Ccy,I admire you kiukweli hunijui sikuji we are not friend am ya fun dat why nakwambia.Kwa mungu hakushindikani kitu

Anonymous said...

TK wewe na mme wako ndio mnapanga mzae lini.it's not upto no one and i mean noboby kukwambia unazaa lini.i have been married for 2yrs na kuzaa ntazaa kwa time yangu.nakula life na mme wangu.do what you do best,achaa kuumiza kichwa wewe mtoto wakike.watu hatukosi kumtoa mtu kasoro.mie naona most of the time ni wivu.love you girl

Anonymous said...

TK, mim ni anonym mpya napenda sana kusoma blog yako. nilikuzimia sana toka ulipokuwa bongo ktk bingo... we ni mrembo. kumbuka kila siku lazima ukitaka kufanya kitu wapo suppoters na haters, dont mind those haters. we fanya unachopenda kwa raha zako binti.

Total Knockout Search!!

Custom Search