Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, May 20, 2009

Wadau wa Los Angeles na Rais wetu!..."Kwa raha zetu"!

Watanzania zaidi ya 70 tuishiao Los Angeles tulikutana jana, na tulifurahi sana kupata nafasi ya kuchangia mawazo na Rais wetu JK. "Ni kama mtoto anapomuona baba".







Pichani
: Juu kabisa tukiwa katika picha ya pamoja na rais wetu Jakaya Kikwete hapo jana ndani ya Beverly Hilton Hotel baada ya mkutano.

Chini mdau mkuu Issa Michuzi akila shavu na wadau sisi wa Los Angeles.
Lol:)!
Dah!"tunampendaa".....

Picha na Habari zaidi->Issa michuzzzzzzzzzz!

11 maoni / comments:

Anonymous said...

"Kwa raha zetu"-I doubt it..!!
I wait him since 8pm and he shows up at 11pm and i drove to victoville almost 1.5hrs,it was really painful.I took some hedache medicine before i went to bed.

He was very shallow answering questions,he did not be able to articulate issues well,he was not connect with majority,at least me for that matter.

The message he was keep repeating,"tengenezeni nyumbani" si mpya,kila mtu anaye kuja ughaibuni anajua hilo,tatizo ni miuondo mbinu.

Alikuwa amechoka au sijui,lakini ilikuwa by mile sio "kwa raha zetu".

Mrekibishaji tabia

Anonymous said...

yaani hadi rahaaaaaaaaaaa..teddy umevaa simple but u look hot

Anonymous said...

hahahahahahahahahahahaha ANONYMOUS 2.33 YO ENGLISH IS HELLA WHACK!! u need lessons boo..LMAO" he did not able to articulate issues"??? damn tht line killed me.

Anonymous said...

haya we mrekebisha tabia na mrekebisha kiingilishi sasa mrekebisha kiingilishi ebu muelimishe mwenzio basi alitakiwa asemeje? utakuwa umemjenga sana

Anonymous said...

Mtoto huko natural from the head to toe,Usifanye yale maplastikii.
TK Ni bomba nimependa nywele zako sana.UMEPENDEZA

Anonymous said...

tutafikaje na si majuu wadau tupeni mbinu basi na si tutoke

Anonymous said...

hivi nyie mnaojifanyaga kazi yenu kurekebisha viingereza vya wenzenu mi nawashangaa sana , kwani si alichotaka kusema tumekielewa .na hata hivyo english sio lugha yetu, mbona huyo kajitahidi,. halafu mara nyingi wale wanaojifanya kazi yao kurekebisha kiingereza au wanajifanya wanajua sana kiingereza wanabakiaga na hivyo vingereza na maendeleo hakuna. kazi kupiga u'ngeng'e na kutwa kutafuta mabombastic(vocabulary)mapya. nauzika sana maana kila blog nilizopitia , hivi vidududmtu kazi yao kukagua watu wenye tatizo la lugha na wala hawachangii mambo ya maendeleo . looh basi tutawapatia fimbo tuu muwe kama vifimbocheza . pumbavuuuu.jamani ujumbe ni kuwa tusiogope haters kufanya tunayotaka kufanya. pumbafffff kabisa

Anonymous said...

Wait a minute.....Mrekebishaji tabia You've let yourself down big time!!!
Kwani kuna ulazima kuandika English? Ngoja tukurekebishe wewe kwanza walau kidogo!
"I wait him since 8 pm" = I've been waiting for him since 8 in the evening... na tena "He didn't be able to articulate issues well" simple ungesema He wasn't articulate enough in his explanation, na tena "He was not connect with majority, at least me for that matter" = In my honest opinion,he didn't seemed to be connected with the majority of us, mwishowe "The message he was keep repeating" = He kept repeating with his message....
Kazana na Kitabu kwanza kabla hujaanza kazi ya kurekebisha tabia.....!!!

Anonymous said...

We were laughing even when he was explained issue like Dual citizenship.

My question is,as a head of state,the best way to explain why dual citizenship process fail,is because ya "wivu?,tunataka huku na huku?"

Again by far ilikuwa sio "kwa raha zetu".

Labda niulize ni kwanini ilikuwa "kwa raha zetu?" na wangipi waliona kweli ni "kwa raha zetu?"

Nafikiri ni wakati wa kukunja sura kwa viongozi wetu.


Mrekibishaji tabia.

Anonymous said...

hahahahaha..kama umenuna meza wembe!! next time write in swahili.that shit is still funny bwana.."i wait him since 8pm"LOL how can u not laugh to that???

Anonymous said...

CK naona umebania comments zangu nilizo mponda JK alivyojibu maswali, kama unapractice uhuru wa opinions basi usibanie coments za watu wengine just because they don't agree with what you think, na pia you shouldn't be airing such issues publicly if you can't handle the critism, just saying...
-Case-

Total Knockout Search!!

Custom Search