HAKUNA KAMA MAMA! Nina haya ya kusema juu ya malaika mama yangu: Ingawa hatupo nae kimwili lakini kiroho na kumbukumbu nzuri, siku zote zatawala maisha yangu.
Ni wazi kabisa kwamba mama yangu alikuwa ni zawadi niliyopewa kutoka kwa mungu.
Alikuwa mpole, mwelevu na aliyebarikiwa tabia nzuri. Nilimpenda sana mama yangu.
Alipokuwa akinibariki nilizisikia baraka zake zikiingia kwenye mishipa ya damu moja kwa moja kwasababu alikuwa akimaanisha.
Mungu ampunzishe kwa amani!!! AMEN
Pichani mimi, hubby Cody na mama mkwe wangu. Namshukuru mungu, she has been an amazing mama to me too.
PS: Changia maoni yako nasi juu ya uhusiano wako na mama yako!...
Happy mama's Day!!!
12 maoni / comments:
Ni jambo jema kumuombea na kumbuka mama kama yupo hai au ameshatangulia mbele haki.
Hakika hakuna kama mama...
Naungana na marafiki wote ambao kimwili hawapona wapendwa mama zao.Kikubwa ni kuwaombea ndio upendo pekee tunaoweza kuwaonyesha.
Kwa wale ambao mama bado wapo duniani basi tuwaonyeshe upendo na kufuata yale mema wanayotushauri.
Nakuwatia wakinamama wote happy mamaz day!
I think a mum is the best person you can ever have and ever know...I could list so many things that I am thankful about what my mum does to me...but hey, no doubt a mother is sooo brave for everythin that she goes through!!
Happy Mother's Day (even if in the UK we celebrate it in March)
My mama is the best!She is tolerant, sweet and forgiving. She is always there for me :).U guys look happy- happy for ya!!
i really love what u wrote it touched my heart to the core..I love you teddy,,,
I love you more Nuru! Happy mother's Day...
Hello Teddy, i like the way you carry your self and you look more beautiful every day luck to Cody.Dont forget, he is handsome too. What a greatest couple! May the Lord bless you with beautiful and smart kids.
My mom is a special gift to me too, and i am always thanksful to God for giving such a mother. My mama may you last longer to make me smile and cry at once whenever i see you.
All mothers are great but my mama is the greatest mother of all. I wish the rest of the world would have been brothers and sisters to me to be able to enjoy my mother's love!
Teddy remember this song?
"Sweet mama, i never forget you for the suffer, you suffer for me. whenever i cry....whenever i sleep you will say sleep sleep my .....
Usije ukalia bure. Mungu awabariki wote
Ooooh Tk,Am so sorry.Mungu ampumzishe kwa amani huko aliko.Im impressed kwa maneno yako uliyoyasema yani yanagusa sana.Pole Mungu akupe moyo kila siku ili siku moja utakapofika unapotaka utazidi kumshukuru kwa kukufanya wewe Teddy Kalonga kuwa wewe.Tuko pamoja sana.
Utasema hata kama akiwa sio mama mkwe poa?
Hmm????
$$$YoUnG MoNeY$$$
TK achana na mpuuzi kama aliyeandika hapo juu...hajui kama sifa unatoa unamaanisha...nways hav a blesd lyf...diva hustler bby...mamaz gn b mamaz..wawe wazuri o wabaya...stil ni Miungu wa dunia...najua ulimpenda mamako n am sho she lukn dwn on u clearing yo wayz n GAl u gn mek t bg...stay blesd...bhoooke...u kn who dat z...
Yeah!...thanks for pay me a visit muheshimiwa. Bhlooooke!!!Lol:)
It is quite true that none is like mami
a mother is always there for you
no matter who you are
your mother loves you
i hold hands with many friends
who lost their loving mamas
once i recall my mami
tears flow
she was such a nice woman
to befriend
thank u mama
for what you did to me
during your time on earth
Post a Comment