Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, May 25, 2009

Beyonce Rocks!

Cream Military Style Jacket:
Vijacket vya ki'michael jackson vyarudi kwa kasi kubwa kwenye fashion sasa.

Pichani Lady Bee akiwa ametinga moja ya vijacket hivyo kilichobuniwa na BALMAIN, kinachoghalimu $3,564.00! :)

4 maoni / comments:

Anonymous said...

I luv the Jacket.. she looks gorgeous!

shamim a.k.a Zeze said...

lol!! hakika hii style mwenyewe inania yanikumbusha kwa fundi mafundi shurti uwekewe sponji begani patune

Anonymous said...

TK kuna wimbo unaitwa Kiss me thru the phone, kaimba souldja Boy tellem... Kuna msichana kafanana na wewe yaani mpaka basi.. kila nikiuona huo wimbo nafungua blog yako nione updates labda ulipata dili.....hebu nitoe shaka tafadhali... yule wewe au?? anaonekana mwisho mwisho wa wimbo hivi... anathrow kiss....

Mdauz.

Anonymous said...

its her Tk for sure u looked mwaaa on that video

Total Knockout Search!!

Custom Search