Nikipenda wimbo, siku hiyo nitauwimba zaidi ya mara kumi kwa siku bila kuchoka. "Alive" ni mmoja kati ya nyimbo zilizotawala siku ya leo pia ikiwemo "milele" by Ray C, "tabasamu" by Mr. Blue, basi leo hmmm...ndani hakukaliki...lol!
2
maoni / comments:
Anonymous
said...
Tk mie wimbo wa Alive wa Jlo bado sijausikia.Lakini kwenye hiyo clip mbona namsikia mariah carie na I will be there.Nilikuwa a shauku kweli maana mie mwenyewe AKa Jlo.!!!Ola
2 maoni / comments:
Tk mie wimbo wa Alive wa Jlo bado sijausikia.Lakini kwenye hiyo clip mbona namsikia mariah carie na I will be there.Nilikuwa a shauku kweli maana mie mwenyewe AKa Jlo.!!!Ola
Kwa raha zako TK,,,,,raha ya raha ni kujipa mwenyewe raha shosty.
Post a Comment