
Kwako mdau,
Karibu tena kwenye safu hii ya urembo. Mada ya leo inaweza kutokea kukugusa, lakini kwa pamoja tunaweze kusaidiana kwa ku'share machache tunayoyafahamu. Au vipi?
Learned from the experience!
SEHEMU YA 1:
Chunusi na weusi unaosababishwa na jua ni tatizo kubwa sana ambalo limekuwa likiwasumbua watu wengi duniani.
Chunusi mara nyingi uja kama mtu una mawazo mengi bila jibu, (stress) mafuta ya usoni au ukavu wa uso ambao unakuja pale mtu anapokua anaosha uso sana(zaidi ya mara mbili kwa siku), hali ya hewa au ubadilishaji mazingira, utumiaji cream zenye chemicals kali, make-up za bei rahisi au zilizo expire, kutosafisha sura vizuri pale tunapopaka make-up na kuishia kulala nazo. UKIJUA TATIZO, daima waweza kuliepuka au kuli'solve bila kuyumba.
Weusi unaosababishwa na jua, tatizo ili limekuwa likiwatokea watu wengi wenye rangi mbali mbali bila kujua jinsi ya kuli'solve. Mfano mtu mg'aavu mwenye ngozi hisiolingana rangi, unakuta anakuwa na uso mweupe, shingo nyeusi, miguu mikono hata vidole. Hii yote husababishwa na jua. Wawezaje kuepuka au kukwamua!?... basi husikose kutembelea Total Knockout blog!! na kujifunza mengi .
Author: :TK
2 maoni / comments:
Kama ulivyosema ukilijua tatizo inakuwa rahisi kulikwamua. Hiyo ni kweli kabisa
Ila nasubiri jibu. Labda kuna njia nyingine ambayo unaweza kutueleza kutoka na experience yako
ahsante tk
Wema
Nasubiri jibu lil'TK
hivi siku hizi umeacha kujiita lil'tk? Au ndio umekua? Nakupenda!
Post a Comment