Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Friday, April 3, 2009

Venye majina ya juu VS Majina ya Unafuu...




















Ni wazo tu!!

Hivi kuna ulazima kweli wa kujiminya kulipia kiatu mara mbili au tatu ya bei ambapo unaweza kupata kitu cha aina hiyo hiyo kisikichokuwa na utofauti mkubwa!?...

Kazi za majina makubwa kama Louis Vuitton, Jimmy Choo, YSL, Alexander Wang, Givenchy, Prada, Gucci, Christian Louboutin, na majina madogo kama bebe, forever 21, Asos, Aldo, utofauti wa kuuziwa bei mara dufu ni wa kwa watu wanaopenda kutumia au kwa watu wanaopenda sifa?...

Kuna ulazima gani wa kujiminya na Louis Vittons wakati kuna bebe shoe kwa $ 169 tu!?lol!:)
"Unaweza kuvaa classy kwa bei ya unafuu"!...

3 maoni / comments:

NURU the light said...

i think that thats what people has to undastand kwamba fashion sio lazma kuvaa vitu vya bei ila ni kujua kupangilia vitu ambavyo unavyo..so be inspired of high fashion and create your own fashion sense

Anonymous said...

it depends tk......personally i spend most of my money on shoes,it doesnt bother me when spend $ 700 on a pair of a must-have...but ni VIATU TUU nothing else!!!!

i could care less what am wearing as long am rockin killa heels!!!
hata nivae gunia,poa tu but shoes aah wapi.

have awesome wkend tk

no.1 fan

Yusuph said...

Tk kwanza upooo?!mbona umepotea hivi?!anyways najua hainuhusu kivile sana lakini ni sifa,kuonekana unazo kumbe ndio vile.

Total Knockout Search!!

Custom Search