




Wadau pia tulikwepo...
Pichani waliopendeza zaidi katika tuzo za TV Land, wa kwanza toka kushoto juu ni Happy Shao, Nancy Assenga, mie, Mekhi Phifer na mkewe, Julia Louis Dreyfus, Vivica A Foxx, Teri Hatcher, ndani ya kumbi za Gibson Amphitheatre jumapili hii (April 19) Universal City, Calif.
TV Land Awards
7 maoni / comments:
WOW mlipendeza sanaaa..absolutly stunning kila kitu on point
A woman will never go wrong with "Little Black Dress" no matter what her size...
....i luv ur look TK
looking gorgeous...
no.1 fan
duh kusema ukweli ulipendeza kuliko vivica fox
You looked gorgeous,mbona sa nyie hamkupiga picha hapo sijui ndo kwenye red carpet walikopiga kina Teri Hatcher na Vivica Fox??au ndo changa la macho hilo
'Coz tulienda late... tukakuta wameshaondoa background. Lakini tulipokwepo ni red carpet hiyo hiyo iliyokuwa ikitumika... tulikuwa stuff by the way. Nothin' major!
TK...well said!LOL
Post a Comment