Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Friday, April 24, 2009

Ndio Maana Wanaitwa "Make-up Artists"."








Hivi mdau ilishawahi kukutokea hii!?
... Umekaa chini unapakwa make-up bila kujiangalia kwenye kioo, huku mpakaji akiwa anafurahia kazi yake na kusema you look so amazing!Omg! Omg!... Akilini mwako unajua leo ndio leo, nikiipata hii picha... hmm! moja kwa moja naikimbiza "facebook".

Alafu ghafla unapata nafasi ya kukatiza sehemu yenye kioo na kukutana na mtazamo tofauti kabisa na uliokuwa ukifikiria.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?...

Mimi baada ya kujiona niliangua kicheko. Nilihisi naenda ngomani.lol!
Pichani: Kazini leo asubuhi, mkcstudios.

4 maoni / comments:

Anonymous said...

Ish! kweli kama unaenda kwenye gombe sugu lakini hujachukiza sana ukifika kwa ofisi ifute maana haloween baaaado

Anonymous said...

Ukisema "wanaitwa" that means ni wengi na watakuwa "artists" na sio artist.

Asia said...

Tabasamu lako tu.

Anonymous said...

hii!! mama kama tunaenda kicheba kucheza mdumange!!!
BIGGIE AYOUB
LOL!

Total Knockout Search!!

Custom Search