Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, April 21, 2009

Special feats: Mama Salma Kikwete Arrives In LA For The African First Ladies Health Summit



Nilipomuona nilifurahi sana nilitamani kupiga vigelegele.


Habari zaidi->Issa michuzi

4 maoni / comments:

Anonymous said...

nilikuwa naangalia ma-first lady wa nchi nyingine mmmh.. jamani mama Salma ni mlimbwende..

TK said...

Ni mrembo kweli kweli, mi nilipomuona live niliduwaa. She's very pretty and young.

Anonymous said...

Jamani TK huyo dada mwenye nguo ya red, kichwani ni wigi au weaving kashonea nimelipenda linamkaa vizuri. Naweza kulipata kwa bei yoyote? Nipo serious usifikiri utani.

Anonymous said...

Tk kwani ungepiga vigelegele ingekuwaje? ungefatwa na police au? nisadie mpz wangu

Grace-dar

Total Knockout Search!!

Custom Search