Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, April 29, 2009

Huyu ni Kim K au Beyonce na Chanel Iman!?


Oops!?! Ni Kim K na Chanel Iman.
Muonekano wake mpya wa blonde ukiangalia kwa haraka haraka waweza sema Beyonce.

Nimependa kivazi cha picha ya kwanza alichovaa viatu vya BCBG na gauni la blue.Yay!

2 maoni / comments:

Anonymous said...

alibadili nywele 4 few days, ila watu wakamshupalia anataka kufanana na Beyonce, mara Jlo ikabidi abadili tayari amerudia nywele zake nyeusi.

Anonymous said...

lol.....she luks betta brunette

Total Knockout Search!!

Custom Search