Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, April 14, 2009

Special feats: Hasheem Thabeet Kuingia NBA Draft!!!

Hasheem Thabeet ameamua kutokumaliza masomo yake katika Chuo Kikuu cha Connecticut. Badala yake ataingia NBA Draft!... watu we weeeeeeeeee!!!


Hongera sana!!!







source:Swahili Time
/ESPn

17 maoni / comments:

Mtanzania said...

He is too young,simchukii but kwa hili la kudrop shule NO.Sioni cha wewe TK kufurahia,hii ni taarifa ya majonzi na si ya kufurahia nna mashaka,sikatai ataenda kupata hela nzuri NBA but shule ni ya kwanza mengine baadae asikwambie mtu,kama kipaji anacho na kama ipo ipo tu hata kama itachelewa,hivi akienda huku halafu mambo yakibadilika?!.Angesubiri amalizie shule then aende lakini huyo anayemshauri hata sijui nani?!.Na wewe Hashim nini kilichopo mawazoni mwako au sijui ndio hawa wakufurahiao ujinga?!Hebu tujiulize mtu kama Lebron Brown James mbona ana elimu yake na yupo NBA halafu alikulia maisha ya shida,tatizo letu watzee tunapenda sana shortcut bila ya kujua athari zake.Najua mtaniita Hater lakini siwezi mchukia mtu ambaye hanijui wala simjui.Ama kweli ng'ombe wa maskini hazai.Nashkuru Mungu nna wazazi na watu wa kuniongoza vizuri ambao wamenijenga shule kwanza mengine baadae na kuzungukwa na watu wanaojua umuhimu wa shule na si ushabiki.Hashim Mungu akubariki uendako,nakuombea kwa mungu ukafanikiwe ili usije juta baadae na kurudi tena shule.

Anonymous said...

Lebron James didn't go to college.. Lebron skipped college and went straight to the NBA.Sio yeye tu hata kina Kobe Bryant, Kevin Garnett,Dwight Howard, Allen Iverson, Jermaine O'Neal, Amare Stoudemaire, and Tracey McGrady. Pretty much all of the NBA's best, most exciting players came out of high school or left college early.Wewe mtanzania i get that they're trying to promote education but hii ni choice yake to LEAVE college sawa??Anyway Mie namtakia kila la kheri...

Anonymous said...

We mtanzania hapo juu ni very dumb. Hela atakayotengeneza Hasheem NBA hata angefanya kazi 10 asingetengeneza maishani mwake.

Tuseme umemaliza shule kama unavyotaka Hasheem afanye, je, una hela kama Kobe au LeBron wewe?

Kobe ana hela kuliko ukoo wako wote na kabila lako lote. Soon, Hasheem atakuwa na mshiko kuliko kabila lako lote combine. Nough sayed.

We unaonekana uko bongo, hujatembea wewe!!

zinjathropus said...

hahaha anon wa April 16, 2009 5:53 AM na April 16, 2009 6:40 AM mmenifurahisha.dizaini huyo anajiita mtanzania ndio wale ma hater.Eti kafanya kosa kuacha shule.Vince carter ali drop collge akaja kumalizia na summer classes na sasa anakula $$$$ kama kawa

lebron james hajafika college kama ulivyoambiwa na wapo wengi.Tatizo watu kama huyo aajiita mtanzania anafikiria usa ni sawa na tanzania eti lazima usome ndio uwe na hela.Au ukiacha shule hurudi tena

anakwenda kukunja $ mil 2 kwa mwaka sasa wewe iambie na degree yake amalize ya saikoloji atazipata lini $$ hizo?

Stop hatin1

mtanzania said...

Sikieni nyinyi mfugao bata kwa ukoko wa jirani,kwa taarifa yenu mimi sipo Tz nipo USA huu mwaka wa sita nimemaliza kusoma na nna kazi ya maana sio kulea kutawaza wazee kama nyie,ok?!.Wewe anon wa tatu sawa me sina hela ya kumfikia Kobe ila nna hela ya kukulisha kima kama wewe na familia yako yote sawa?!.Ndio maana nilisema watu mnapenda sana shortcut,heri yako wewe uliyetembea umeishia kutawaza wazee wa kizungu,eti hujatembea wewe umetembea wapi!?hao wanaoenda space nao wasemeje?!unatembea unazurura wewe au kuja na Kenya Airways na kuishi ukishughulikia makaratasi ndio ujanja?!nyama weee.Ingieni mtafute Bio ya Lebron.Wewe Zinja mimi simchukii Hashim coz simjui wala hanijui,kwa taarifa yako tu mimi napenda sana maendeleo ya vijana wenzangu wa kitanzania wewe kaa hivyo hivyo na ngumbalu yako utegemee kutoenda shule ufanikiwe umeskia eenh.Nawaonea huruma sana halafu soma ujumbe wangu mwishoni nilisemaje.
Bye

Lilly said...

This is too funny. I have a question for Mtanzania. First of all do your research before you leave any comments on this blog...Second, who told you Lebron went to college. Third LeBron's full name is LeBRON RAYMONE JAMES...Wewe hiyo Brown umeitowa wapi?

zinjathropus said...

mtanzania acha ku hate Lebron james hakwenda college na hajaenda kaishia high High school ya St.Vincent–St. Mary ya OHIO http://en.wikipedia.org/wiki/LeBron_James#High_school

Kusoma sio lazima opportunity ya hasheem haiji mara 2 kijana,wewe unamwambia asome unajuaje next season timu yake itakuwa nzuri kama hii? pia kuna tetesi hata kocha wa Uconn anaweza kuondoka.

Wewe tuambie Kobe hakwedna college,lbron hakufika college,Amare stoudmire na wengi hao wamepata athari gani? wa kujuta ni kama mimi na wewe tusio na kipaji ambao unaona elimu ndio mkombozi wetu
hasheem akicheza even one season hela atakayopata atajisomesha miaka zaidi ya 10 mbeleni akitaka

Anonymous said...

Nitukaneni msinitukane i don't give a shit, this is a whole load of bullshit, BTW nakubaliana na Mtanzania alivyosema, watanzania wengi wanapenda shortcut na tamaa, it's so obvious kuwa Hasheem atalipwa vizuri, tunajua hilo, it's not like amejiunga na team ya yanga au simba, this is NBA tunajua mshiko wake ni wa nguvu, kwa hiyo wewe pimbi unaejitia uko USA kwa hiyo una facts, hatuzihitaji, mimi niko UK na ninafuatilia sana sports!
My whole point hapa si kumponda Hasheem, ni wazi anaitumia nafasi aliyoipata vizuri, lakini wachace weye akili nzuri ndio wanajua kuwa the guy has rushed too fast, he is just not ready period, nilikuwa naangalia jopo la wachezaji wa zamani waliostaafu wa basketball juzi kwenye Channel moja ya Canada hapa UK na wamesema pia the guy just ain't ready, bado anahitaji a little bit of experience, hao waliomshauri kama coaches na managers pia wanapata ulaji so it's all about bussiness here, lakini Hasheem has a bright future ahead of him hata kama angesubiri miaka miwili angetoka hapo very exposed, he's gonna be tossed like a rug in NBA we subiri tu, kwa sababu ya tamaa. Eti mnaanza kutoa mifano ya wachache ambao hawajamaliza shule na wamefanikiwa, kwani mmeambiwa na Hasheem nae lazima iwe hivyo? You can't go wrong with education na ana advantage kuwa bado umri wa kukubalika kimataifa anao,ataenjoy pesa kwa muda, halafu hana hata backup plan, upumbavu, most of them hawarudi shule FYI baadae ndio maana wanaishia kufile for bankruptcy, kweli ngo'mbe wa masikini hazai du, wote mliomshauri aache shule obiously ni wachovu tu na kama alivyosema Mtanzania bado mnabeba boksi, mngekuwa na elimu na kazi za maana msingeropoka pumba hivyo, all the best Hasheem!

Lilly said...

Mtanzania and Anon April 17, 2009 8:31 AM. You guys need to take a Chill pill. If Hasheem has decided to go ahead and pursue his dreams what is it to you guys? You need to realize that this young man is doing what is best for him and not what is best for US...Let him be...If he doesnt make it, he already has 3 years of college and he can always go back and finish off school. This is once in a life time apportunity and you cant sit here and write on this blog and tell me if the same apportunity was presented to the both of you, you wouldnt take it? Anyways, in short my point is, Hasheem will do the hell he wants to do and the rest of us can sit here and smack talk each other all we want and that wont change a thing......Good luck to all of you..

Anonymous said...

kuacha shule??hEll no! u should thing of the future youngin! n wat if u dont get the chance wat u gona do??wat if u legz get broken n u cnt do sht no more on the court watchu gon do?>??jamani tufikiriage na mbele sio kuwa namuombea mabaya bt education iz always a life saver!

Anonymous said...

u ppl just bcoz BILL GATES dropped out of HAVARD n becam a billionaire doesnt mean u gona be one if u do it too! SOMENI kama mna opportunity it wont kill hasheem if he completes his studies n make whole lotta muney in the future outta NBA, will it?i hav ma degree which i never used profesionally n im making big bucks elswhere butttt incase of anythin i hold up 2 ma degree so it wont be reallly ugly when ugly moments r shit to b there. u gitch?total knock out for lifeeeee!

Anonymous said...

"ALWAYS FOLLOW YO HEART,YOU WILL LIVE A HAPPY LIFE",so hasheem aendelee na anachotaka kufanya!!,la maana ni kwamba asibweteke na mshiko atakaopata!!
" I hope kama ata invest vitu vya maana,he will not drop down at all"
NADHANI KAMA WATANZANIA,TUNATAKIWA KUMUUNGA MKONO NA KUJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA MCHIZI!!,ili tuwe wengi ktk ligi kubwa mbalimbali duniani na sio COMPLAINING WHILE TIME IS RUSHING!!!,tufanye kazi n be serious wit what we'r doin!!
Kumbukeni hili,"..KIPAJI NI UTAJIRI AMBAO MUNGU AMEKUPA ILI UWEZE KUPAMBANA NA MAZINGIRA YAKO YA KIMAISHA.." big-up to hasheem n i hope he will make it GREAT!!

Anonymous said...

LEMME TELL YOU ALL,KILA MTU KAPANGIWA MAISHA YAKE;MNAJUA HOW GOOD IS HASHEEM IN SCHOOL:(LABDA ANAJIJUA THT HE IS OFF BETTER IN BBALL) HE CHOSE WHAT HIS HEART IS DEDICATED TO DO;HE LOVES BASKETBALL NA WHEN HE WORKS HARD THEN ATAFANIKIWA TU INSHAALAH; PEOPLE YOU HAVE TO THINK SHULE IS ALWAYS THERE BUT UKISHA FIKISHA MIAKA FLANI U CAN NOT PLAY BBALL AGAIN; HAO WALIMPA OPPORTUNITY HAWAKUJUA KAMA HE IS NOT READY::::SCHOOL SCHOOL MY ASS;PLAY BBAL ;ANGALIA HOW YOU CAN FINISH YOUR SCHOOL LAATER: THEN U WILL HAVE BOTH:
KULIKO KUSUBIRI CHANCE WHICH MIGHT NOT COME AGAIN.

Anonymous said...

Ulishawahi kumsikia Jewish anawika kwenye sport yoyote? sisi mambo yetu VYUONI. Tunacontrol Academia halafu baadaye unacontrol uchumi na biashara. Wabongo endeleeni kudanganyana tu. Tuliwasikia wakina KASHOGI na Rockafella, bila kumsahau ndugu yangu TYSON, lakini leo hawasikiki tena, kilichobaki ni mali za familia tu, TAYSON ni kaputi. Wana-waisrael tunaendelea kupeta, mara tuitwe MABAHILI, Conspiracy theory kibao.Wakina Zinjathropous wanamng'ang'ania bwana mdogo utadhani wao ndio watava jezi. Remember; ONLY THE EDUCATED ARE FREE.

PTR said...

Hivi ...Mtanzania...nani anakulipia shule...au ulichukua Loan...au Financial aid...au una uhusiano na Mafisadi fulani ambao walikusaidia au bado wanakusaidia kulia shule....maana naona unawakashifu waTanzania wengine ambao wako US na wanajaribu kufanya kazi na kujilipia shule "wenyewe". Kuhusu Hasheem Thabeet...."power to him"....elimu haikimbii. Mwache atengeneze pesa wakati muda unamruhusu....shule ataendelea tu.
Stop "hating"...."Represent"....!!

SRMSOFTTECH said...

EARN GLOBAL MONEY gives you instant access to a dynamic, scalable,
dedicated and responsible development program - a committed to
meeting the highest standards, committed to delivering on promises,
and committed to ensuring every program success. !click here for more

maradona said...

Get Genuine Ways To Earn Money Online With Payment Proofs. You Can Learn How To Make Money With Traffic Improvement Tips and make $100 every day .So That You Don't Waste Your Time And Money. click here

Total Knockout Search!!

Custom Search