Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, April 9, 2009

Halle Berry Ndani ya Bazzar Mag....

Halle Berry amekuwa cover girl, jarida la Bazaar toleo la May'o9.


Ndani ya Jarida hilo ameweza kuzungumzia mahusiano yake na boyfriend wake wa muda mrefu, Gabe(33). Pia ameweza kuzungumzia amewezaje kuji'keep fit baada ya kuzaa, na kudai kuwa anapenda kula Doritos.Lol!

Bila shaka mnaweza kumuona jinsi alivyopendeza!... Sioni utofauti kubwa baada na kabla ya kuwa na mtoto!...Kama kazidi kuwa mrembo vile!?!...
:)


Pichani: Picha kutoka ndani ya Jarida hilo akiwa amevalia vivazi moja kwa moja kutoka kwenye runway. Blumarine Spring 2009, Christian Dior Spring 2009, Fendi Spring 2009 collection, na Calvin Klein Pre-Fall 2009. Si mchezo!!
Source:Fashionjunkii/ Bazaar

0 maoni / comments:

Total Knockout Search!!

Custom Search