I saw u baby congratulations,tena nakusifia kwa watu jana nilivyokuona nikapiga kelele wow nimemuona Teddy kwenye tangazo ilikuwa inaonyeshwa kwenye tv chanel 307.mungu akutangulie natamani niwe kama wewe lakini nimeshaanza kuota mvi
dah hata mie jana naflip channels ,hata sikumbuki ni channel ipi. mara nikaona hiyo commercial wakati inakaribia kuisha dah nikakuona . yaani nilifurahi sana utafikiri nimemuona mdogo wangu kwenye tv. hongera sanaaaaa. keep representing dada(tanzania iko juuu)
14 maoni / comments:
is it posted on youtube?
I guess not candy! :)
see it where?
Hi Tk jana niliiona hii commercial mie naishi hapa Calgary.I was so proud of you.Good Job!!!!!.
Coco.
I saw u baby congratulations,tena nakusifia kwa watu jana nilivyokuona nikapiga kelele wow nimemuona Teddy kwenye tangazo ilikuwa inaonyeshwa kwenye tv chanel 307.mungu akutangulie natamani niwe kama wewe lakini nimeshaanza kuota mvi
http://www.youtube.com/watch?v=EpUuA_UaaIs
Hello TK! I saw it yesterday ila ilikuwa inaishia so sikukuona vizuri! But am happy 4 u!
From Columbus, OH.
Cool commercial!I'm so proud of you gal!- lil
dah hata mie jana naflip channels ,hata sikumbuki ni channel ipi. mara nikaona hiyo commercial wakati inakaribia kuisha dah nikakuona . yaani nilifurahi sana utafikiri nimemuona mdogo wangu kwenye tv. hongera sanaaaaa. keep representing dada(tanzania iko juuu)
cecy (columbus)
Go gal! from Bongo to US still representing? thats whats up T!
finally it is on youtube!!..
wow TK i absolutely love it...n da end is so funny...really entertainin
Thanks guys!... Yes we can! Yes we can!:)
It was on abc chanel yesterday on Easter sunday during Celtics and Cleveland game.
Congratulations Teddy. I saw it although I couldn't recognize u @ 1st. U looked greenish I don't know goldish or something. U look pretty though
Post a Comment