Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, April 13, 2009

Chris Brown na Kifaa kipya!?!...


Anaitwa Natalie Mejia kutoka kwenye kundi moja "underground" ki'music, wanajiita Girlicious!(wanajulikana zaidi Canada lkn).

Baada ya kuonwa pamoja CB' alipoulizwa akakana kuwa sio demu wake. (Ila mnakumbuka yeye na Rihanna walipoanza walikuwa wakikataa kuwa si wapenzi.)

Pichani wakiwa wametoka tattoos parlor. (sijui wametoka kuziziba tattoos alizochora alipokuwa na Rihanna.) hmm, makubwa!?!

1 maoni / comments:

Anonymous said...

Mh watoto hawa jamani, mbona vishughuli vingi??? kha!

Total Knockout Search!!

Custom Search