


Kumekuwa na wabunifu wengi kutoka sehemu mbali mbali Afrika Mashariki ambao kazi zao utumia material ya KHANGA kama Ailinda Sawe, Max Osterweis, na wengine wengi ikiwemo american Apparel.
Lakini yote tisa, kumi nani mkali zaidi!?... Kutana na CHICHIA LONDON label inayoungurumba mjini London, ikiwa chini ya m'bunifu mahiri kutoka Tanzania Christine Mhando.
Label ya Chichia ilianzishwa 2007 , ambapo ndani ya tovuti yake inaelezea kuwa utambulisho rasmi wa "Chichia ni "KHANGA" ambayo utumiwa kama kivazi kikuu cha wakina mama waki'Afrika mashariki.
Waweza kutofautisha Chichia london na kazi za wabunifu wengine kwa kuangalia uchanganyaji wake wa pamba na fabric ubunifu wake wa sketi, vitops, blauzi, magauni ya kisasa unayoweza kuyavalia mikanda n.k.
So modern!!...
CHICHIA'S website->CHICHIA LONDON
1 maoni / comments:
I have come across this lady's work before and I must say it is fantastic, and made me very proud as a Tanzanian. The mix of fabrics is fabulous, and very current as well, but most of all how easy it was to get hold of her clothes, online and in stores too, unlike most designers from TZ, they advertise their stuff but you don’t know were to get them , even if you are in Tanzania!!! Keep up the good work, Chichia London Rocks!!!
Post a Comment