
Ikiwa chini ya mdau mkubwa na mahiri kwenye kazi ya utangazaji, uwana mitindo, ugundua na kuinua vipaji vya vijana wengi nchini Tanzania, Taji Liundi a.k.a Master T. UMODO blog here we go!
Kama wewe ni kijana/binti mwenye kipaji au wahisi unasifa ya kuwa modo na upo Tanzania, basi husisite kutembelea U-MODO blog waweza kupata nafasi ya kutoka katika staili ya "nitoke vipi".
Pichani: Picha kutoka U-MODO blog ikionyesha kazi nzuri kutoka kwa mwanamitindo Fatma Amour, kakakuona. Habari zaidi-> U-MODO
1 maoni / comments:
DHu! mambo yalifana hapo kwa mwanamitindo fatma amour dada unatisha.
Post a Comment