Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, March 3, 2009

R.I.P Rehema Mwakangale
















Mtangazaji wa ITV Rehema Mwakangale (kulia) amefariki dunia leo asubuhi katika hospital ya Mikocheni alikokuwa amelazwa, kutokana na Ugonjwa wa athma.

Kwa Mujibu wa taarifa kupitia Radio One, mipango ya mazishi itakuwa kwa bibi yake Sinza karibu na Deluxe bar.


Total Knockout Author:"Namkumbuka Rehema kwa upakaji wake wa make-up(eye-brows) na tabasamu lake", alikuwa ni mtu ambaye siku zote upenda kutabasamu anapotoa salaam.

Mola ailaze roho ya marehemu peponi
AMINA
.

7 maoni / comments:

Anonymous said...

Nilikuwa nafanya kazi mojawapo ya makampuni ya Ipp.Nilikuwa naonana naye sana wakati akijitayarisha kutangaza habari.Mungu amlaze pema peponi.

Anonymous said...

Sauti ya mpendwa wetu Rehema itadumu masikioni mwetu. Tulimpenda lakini Mungu aliyemuumba amempenda zaidi.
Mbarwa Kivuyo

Anonymous said...

mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa baba yake mdogo kawe jijini near kliniki ya JKT ... her smile will always hang on to my memories..she was a very charming lady..bwana ameleta na bwana ametwaa tumshukuru allah kwa yooote anayoyatenda kwani yana maana yake!amen.Su

Anonymous said...

duh, tutamiss utulivu wako wakati wa kusoma habari "R.I.P" Rehema

Anonymous said...

Tulimpenda sana Rehema lakini mwenyezi mungu alimpenda zaidi yetu. Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi.

Anonymous said...

Tulimpenda sana mpendwa wetu Rehema ila Mungu kampenda zaidi, hiyo ni safari ya kila mtu ila mwezetu katangulia yatupasa tusafishe matendo yetu maana siku ya mwisho yaja , Mungu akulaze mahali pema peponi Amina

Absolutely Awesome Things (AAT) said...

aaa jamani..R.I.P Rehema

Total Knockout Search!!

Custom Search