Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Saturday, March 21, 2009

Meet The Fierce Wangechi Mutu...


Wangechi Mutu mmoja kati ya wasanii wakubwa duniani, katika ulimwengu sanaa.

Binti huyu wa kikenya aliyejaaliwa akili, maarifa na urembo, miaka 20 iliyopita alihamia nchini Marekani akiwa na lengo la kusomea anthropolgy na sanaa, ambapo baadae aliamua kujikita na kuendeleza shughuli zake za sanaa mjini New York.

Miss Mutu ambaye kwa sasa ni mjamzito, hivi juzi juzi alipofanikiwa kuhojiwa na jarida la April la Vogue.
Akiwa amevalia black crocheted dress over a white long sleeved T-shirt na navy leggings, black nail polish, na nywele zake nyeusi za dreads zikiwa zimesukwa na kuongezewa rasta za rangi ya blue. Vogue ilipomuuliza anawezaje "kwenda na wakati" kimavazi yungali na tumbo kubwa. It's funny!... Akasema: "I have a very 'A', pear-shaped figure, so I haven't had to buy that many pregnancy dresses; I 'm just wearing the ones I wore before and filling them in."

Mahojiano zaidi waweza soma kupitia jarida laApril 09 la Vogue .


Chini some of her paintings:

0 maoni / comments:

Total Knockout Search!!

Custom Search