
CUPID CLOTHING COMPANY ikiwa chini ya m'bunifu Nick, watarajia kutoka rasmi mwenzi ujao. Nguo hizo ambazo zitakuwa zikipatikana jijini Dar es salaam na sehemu zote Tanzania, pia wameahidi uwezekano wa kukusafirishia sehemu yoyote ile mteja ulipo.Bila kusahau Cupid pia wanatakuwa na fashion show yao ya kwanza kabisa mwezi Dec mwaka huu, Dar es salaam, Tanzania.
0 maoni / comments:
Post a Comment