Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Saturday, March 28, 2009

Kabla na Baada ya Re-touch Ya Kim K!






Kim K: Who doesn't!?!...

Hivi juzi juzi mwanadada mrembo Kim Kardashian a.k.a "Kim K", alifanikiwa kuwa featured kwenye kurasa ya mbele ya jarida la Complex.

Jarida hilo kwa bahati mbaya lilitokea kuweka picha ya Kim K kwenye mtandao kabla ya kuisafisha kwa kuondoa mabunya bunya ya mabajani ya mrembo huyo, na baadae kuiondoa.

Lakini hata hivyo Kim K alisikika akijitetea kwenye blog yake na kusema, hakuna cha ajabu kwani hakuna mwanamke yeyote yule mwenye umbo kama lake "curvy" hasiyekuwa na mabunya bunya. Hmmm!?!

6 maoni / comments:

Anonymous said...

Mimi nakubaliana na Kim, karibu wanawake wote, hasa wenye maumbo kama yake huwa wanakuwa na cellulite, nothing to be ashamed of there!Curvs all the way! tumechoka uongo wa kwenye tabloids!!!

Anonymous said...

shes damn cute

Anonymous said...

kim rocks!!!!

Am a curvy young lady and am f**** proud of it!!cellulite is so normal...own it,b*****!!!!
ur fierce!!!!!!!!!!!!

candy said...

well i m sure every plus size woman is proud of wot she has...n agree wit Kim but...she agreed to be photoshopped? maybe she ddnt...dnt knw...

Sarp said...

for sure,i likes her jamani......alichosema kim ni kweli,kila mwanamke ana so damn called ROCK PEDESTALSS!

michellesaprincess said...

i love her....she is cute.

Total Knockout Search!!

Custom Search