Updated:Kama una kumbuka vizuri kwenye Inaugural Balls alikuwa ametinga baadhi ya viwaro kutoka kwa m'bunifu Jason Wu.
Pichani Kwenye Jarida la Mitindo "Vogue" la mwezi March, Michelle Obama kwa mara nyingine tena ndani ya gauni lililobuniwa na m'bunifu huyo (Jason Wu).
Head on the Runway
4 maoni / comments:
Hey TK watoto wake walivaa nguo za J-Crew angalia vizuri..Michelle ndio alivaa Jason Wu..
Nikurekebishana tu
Ahsante, nimerekebisha.
HUYU MAMA ANA SURA YA KIKEREWE KWISHA KAZI.
Mwanamke wa shoka na anajua mavazi yanavyompendeza!Blog yako nzuri!
Post a Comment