Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Friday, March 20, 2009

I can't get enough of Bee...

I can't get enough of her. She is adorable!...

Kila mwezi nakawaida ya kupokea jarida la Vogue, lakini yote tisa kumi. Beyonce ni kivutio changu zaidi.

11 maoni / comments:

Anonymous said...

TK ur the hottest babe on the planet next to Angelina Jolie. Hands down!
but idk what u see on B?? get over her seriously:)

TK said...

LOL!

Anonymous said...

TK jamani nini siri ya urembo wako kila siku unazidi kupendeza?kazi njema.

Anonymous said...

I see you more like tyra banks, anaqualities ambazo nahisi ziko sawa na zakwako. Kaza buti mama usisikilize haters just keep your ball rolling. Umekuja marekani muda mfupi na umeweza kufanya mengi I admire you

TK said...

Awwwww...thanks!

Anonymous said...

TK mpendwa najua wajua mambo ya urembo hivyo naomba unisaidie jambo moja.nilikua natumia bleaching cream nimeacha muda mrefu sasa lkn nimebakia na maalama meusi vidoleni ivyo naomba unambie nifanyaje yaishe.

Anonymous said...

god bless you TEDDY KALONGA.sikujui lkn nafeel positive kila nikuonapo mdogo wangu.

TK said...

God bless you for blessing me!

Anonymous mwingine.
Ningependa kukushauri husitumie tena bleach. Inaharibu ngozi vibaya sana, sababu inabeba hydroquinone chemical C6H6O2 ambayo ina'ugomvi na jua... na ndio hufanya vidole au baadhi ya sehemu ya mwili kuwa nyeusi zaidi ya weusi halisi.

Tumia SUNSCREEN SPF 100, hii ina UVA/UVB ambayo ukinga ngozi kuchomwa na jua. Taratibu lakini at the end of the day utapata karangi kazuriiiii!

Zaidi waweza kuni'email nikueleze vizuri "totalknockout1@gmail.com"

Good luck!

Anonymous said...

TOTAL KNOCKOUT OYEEEEE.ata mimi nina hilo tatizo nikazani ndio siezi kurudia ngozi yangu tena lkn ulivomsaidia huyo na mimi nikafurahi kesho naenda itafuta.tupe matips ndugu yetu tusaidie tupendeza.

Anonymous said...

Orlight TK...wooooow u stil hotttttttt gal...pamoja tunawakilisha bongo kila corner viwanjani u knw i mean

SIMON KITURURU said...

TK umependeza kuliko B!

Total Knockout Search!!

Custom Search