
Are you a member of the Total Knockout!! blog?...
Yes, or no, kwa mara ya kwanza kabisa Total Knockout!! inapata nafasi ya ku'share na wewe viwaro vya Total Knockout blog.
Soon kutakuwa na Tops, T-shirts za kiume, vikombe, kofia, stickers, chupi, nk... ambavyo vyote vitapatikana kwenye online shop.
"Feel sexy, confident, blessed... and be a Total Knockout!!!" :)
10 maoni / comments:
woow i like tht, keep it up baby gal.
Grace-VA
lemme start by saying u luk HOT,jamani i love ur flawless skin...
nipe siri,wangu?
tk oyeeee...thats a fabolous idea..nakuja L.A Soon
no.1 fan
Great Teddy !! Ushauri iondoe hiyo web address hapo chini. Acha tu Total Knockout na kijialmasi
Poa, I will... thanks!
iko poa!tutapataje huku kigoma vijijini?
Tafadhali....chupi za size zetu usitusahau..ikibidi my special size...na hv bongo sasa hv tunanunua online wamekwishaaaaaaaa
cool!...cant wait!
mwanangu na vyupi!!! but be creative and am a good business anlyst I can help you for free,,ningependa utoe mfano badala ya kuanzisha nembo ili kupata umaarufu kama baadhi ya watu wanavyofanya,,wako wapi kina GK na east coast??...ni mfano tu if ur a business oriented, basi nitafute maana mie ni member wako mzuri wa hapa UK, "Eagle"
tk,u really need to think about this investment.
like how many people would really like to wear a t-shirt written totalknockoutblog ama wawavalie waume zao vyupi vimandikwa total knockout blog.fikiria kwanza kabla hujadodewa na hizo chupi na tshirt na mug,
i cant wait Tk.............daimn. fanya mambo haters wazidi kuachama. halafu wewe huyoooooooooooo....umeona eeeeh!! wacha tuvae bwana.
Post a Comment