Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, March 25, 2009

Aisee!?! Hii Kali Kuliko....





Washabiki wa Diva B walalamikia manjonjo ya Ciara kumgezea Beyonce. Dah!?...Hii hata mimi niliishtukia flani hivi, tena anamwiga hata Janet Jackson.Lol!!!

Kilichowaboa zaidi washabiki wa Beyonce ni hivi juzi juzi Ciara alipotoa video ya wimbo mpya “Love Sex Magic” ft. JT kutoka kwenye album yake mpya. Kiukweli staili anazozicheza kwenye hii video juu^, yaani husipoangalia vizuri utasema "Beyonce mwembamba"!

Angalia staili anazodaiwa kuzi'copy: B rocked the shades with vertical metallic strips, while Ciara did the same thing except her glasses are in steel. B flaunted her stuff in a leopard print bodysuit, Ciara does the same in tiger. Then Beyonce’s “Ego” demo video hit the net a few weeks ago featuring 3 dancers with different afro wigs. Now Ciara has done the same thing in her video, down to the color and style of the wigs.

Full kukopii!

11 maoni / comments:

NURU the light said...

najua unampenda b sanaaaaaaa lakini even her kuna vitu anacopy...everyone take inspiration n pieces here n there but ciara is limber as hell..she looks fine in this one n wasanii wakike tuko juuuuuuuu

TK said...

Nuru, sio vibaya ku'copy kwa sababu kila mtu anajifuza vitu vipya kila siku. Lakini kama unajiamini vya kutosha unatakiwa kuwa mwepesi wa kubuni staili zako mwenyewe. Hasa hasa msanii, unatakiwa kuwa m'bunifuuuuuuu. Uki'copy sana unakuwa unawapa watu wakati mgumu wa kukufahamu utambulisho wako:)!

ps;na wewe unampenda Solange.:) And I know that!

NURU the light said...

YAAAA I LOVE SOLANGE N HER STYLE MUCH MORE THAN B,,N I AGREE NI MUHIMU SANA KWA KILA MSANII KUWA NA IMAGE YAKE ILI MTU AKUFAHAMU NA KUJUA UBUNIFU WAKO so point taken n nimenotice wote mimi na wewe ni fans wa knowles familia...knowles oyeeeee, hahahahah..love ya

Anonymous said...

TK good point dear kweli full kucopy
Nuru unafikiri kwanini LADY J tanzania yuko juu sana and she stands out maybe if she was copying everyone like other tanzanian female artist do she wouldn't be so far. Nuru maybe try to also set your own game and you will be far mamama au una semaje
ni ushauri tuu jamani

Anonymous said...

mimi binafsi sioni kama wasanii wengine wakikie wanamuiga jaydee..k-lynn anamuiga jay dee kivipi labda apate tips za fashion toka kwake maana k-lynn anastyle,besta jee.nakaaya je,stara thomas je,hafsa je,hata huyo nuru wanamuiga jaydee kivipi..kila mtu niliomtaja juu kafanya kazi yake na tumemtambua..ndio hapo ciara kaiga vitu vingi mpaka inakuwa noma na ndio issue inahusu hicho..

Maggie said...

What inspired me most in this video is the continuing evidence of Justin's extraordinary talent, he is amazing.Ciara is OK!

Sarp said...

Dah lakini ukiangalia ni kweli but honestly B yuko juu,Ciara angeonesha uwezo kivingine

Anonymous said...

Anony March 26, 2009 4:51 AM,kama nimemuelewa huyo anony juu yako hajasema kina k-lyn wanamuiga jay dee.Alichosema jay d haigi mtu ndio maana yupo juu.Other female musicians kwa maana ya huyo anony wanacopy sio kwa Jay Dee may be from those kina beyonce,shakira n.k. Anyway fashion kila mtu ana copy. To you T.K i knw you may have your own creativity but stil kuna some tips unatoa kwa hao hao.Hasa akiwa mtu unayemzimia kama Sasha Fierce unataka ufanane nae au umzidi kidogo.Au???Just a comment!

Anonymous said...

TK ur right darlin..kila mtu ana copy ila usiover DO ciara is jus too much this is sickenin its like copy n paste work!2much ciara n shez losin her game! she lost her beauty oh mmi days!Luk at B, kila anaporelease album u can spot a huge difference btn the current n previous albam she really works hard jus fo ppl liek ciara to copy n paste everythin..wel she(ciara)wnt even sell coz erybody iz MAD>.yea u read me right..na kwa commentors wa juu lady jaydee is ver creative i think its all about creativity au sio most musicians wanaigana sana kwa TZ, jaydee has a unique style..mambo ya fashion..well wote tunaiga kutoka majuu au sio?yea so tht be it.maoni tu, nothing offensive..SHALIE!

Anonymous said...

jamani jamni kuna uhakika gani ciara ndo kaiga?inakuaje kama b ndo kaiga na akawahi kutoa video kabla ya ciara?au wote wameigana? au producer wao wameigana. si bure wamekubaliana kuigana.kwikwikwi.....

candy said...

1st..."obviously" Lady B is on da top even though she does "copy" some stuff n tries to work her own style with them..

so i think its da same to Ciara...Bey might b an inspiration to CiCi dats y she is doin it but she adds her own touch into it so it dont look too obvious...i love them both anyway

Total Knockout Search!!

Custom Search