Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, February 26, 2009

I Feel Sorry For Haters....



Hivi... ni wivu, upungufu wa akili, au ni ukosefu wa malezi bora?

Unapoiba picha zangu za facebook na kuzipeleka kwenye blogs chafu ni nini!? Wafanya hivyo ili iweje?...Do you think that will fade me?...uh' uh, that will never happen... tena na ushindwe kabisa!!!

Unasikia raha sana unachomfanyia mwenzako, kama ungekuwa wewe au ndugu yako anafanyiwa hivyo ungejisikiaje?
Alafu... na hiyo tabia ya kuunda rumor ya uwongo kwa lengo la kumchafulia mtu sifa pasipo sababu, ni nini!?... Kwa kuwa wewe ni mchafu basi unataka kuchafua kila mmoja...

I have been always busy with my work I never get time ya kufanya mambo ya kipuuzi (plus nakula changu sili cha mtu)... lakini bado muhuni bila haya wasimama kidede kuita wanawake wenzake wahuni... na hata kuthubutu kunilistia majina ya watu niliotoka nao huko blogin' ambao siwafahamu hata kwa sura. That's so cheap, hater!! You don't even know me.

Kama huna mpango na mimi achana na mimi, stop coming my way looser!.... You are distracting young people who depend on my advice, including your siblings na friends zako ndio watu wakubwa wanaotegemea ushauri kutoka kwangu (facebook). Yap!... Because they have faith in me.
.....................................................................................
Tabia chafu inatokana na mtu kuwa bored na maisha.
I am blessed! I am a beautiful lady with many talents, and I am busy pursuing my dreams. Sina sababu ya kuwa na tabia chafu kama wewe (iweje unanilazimisha?)... Hauna maisha ama!?

However, maneno ya mpumbavu hayanikoseshi usingizi. I just feel sorry for you! "Unajijua"... na blog zako za kuzimu wanaokupa nafasi, washindwe kabisa!!!

Dedication:


PS: For the none-haters juu kabisa 'am on set shooting my new commercial.

28 maoni / comments:

Anonymous said...

Teddy this is my first time to comment on ur website but i am a big fun of urz. I was not in Dar when u were working for the TV but i found out that u were a hard working talented girl. I have one advice to you sweetheart. Let the haters hate, they will never stop that is there no matter what, some people like to see others going down but hey u are moving on, so keep ur head up and dont even bother reading what they say about u bkoz deep down everyone with brain knows they are stupid. So dont wast ur time and read about them, just concentrate doing ur thing. U r a pretty girl and have energy, use that for good cause. They many be thousands out there hating but know that there is few here and there love u dearly and that should be enough. So be happy ok?

A girl from Netherlands

Anonymous said...

Been there (1 time) and life goes on TK, as it has for me! It's people's self esteem being very low hence why they feel it will rise when they put others down or undermine them and ruin their names.

What matters to me is that I know who I am and you definitely know who you are. What don't kill you can only make you stronger. It definitely made me stronger!

However, my advice is, so called friends sometimes are the source of hate so be wise with who you call a friend!

Jealousy won't kill, it will only make them hate you more and believe me every successful person in the world has haters who are looking forward to them falling down. Let it make you stronger and don't even address them cuz they love to see if their hate got to you!

Life is too short... enjoy it, with your loved ones!

Love FT!

Anonymous said...

Hi TK
Pole sana my dear for that. I was shocked to see people wanaokuharibia jina anyway that is how life is without challenge you can not win. For me I do I advice you to see that as A chellenge in Life. you know what nafarijika sana ninaposikiliza wi=mob fulani wa Bahati Bukuku anaosema " unapoanza watakutia moyo unapopata mafanikio vinaibuka vikwazo ila nashauri shonga mbele" that is for you dear

by waukweli said...

Dahh!Pole my dia.Msamehe ajui alitendalo.Wa2 km hao unawapa kisogo hawafai kwenye jamii na hata mbele za Mungu.Achana nalo atajijua na balaa lake.

Anonymous said...

Wape vidonge vyao hao...they are just loosers..... you know what...please put Maya Angelous Poem - STILL I RISE..Do that wamezidiiiiiiiiiiiiiii. Get life Haters!

Anonymous said...

I don't understand why people focus on someone they hate unless they are envious or jealous of that person.. when i don't like someone i dontlook them up and waste my day on them.. i might read a news article, and comment inside my head !! But I don't go to their web pages, and news story and slam them. Thats really immature, and perhaps some people still have some growing up to do. Its sad it can't be bought... you have to learn it. Maybe someday you'll focus on things you love and your passions.

I heart you T..

Anonymous said...

Mpenzi just dust off ur shoulders and keept it moving....

Michelle

Annie said...

make those haters more and more jealous.remember maneno ya lady jaydee sikuhazingandi.kama una huo wimbo uweke then cheza kwa raha zako.mimi mwenzio i feel so good and happy for you.you re beatiful and talented,anyway i dont ve to remind you of that.wewe mwenyewe wajua pamoja na hubby wako.
ni mimi ninae ku admire
annie
UK

Anonymous said...

TK my luv..i feel u kabisaaa,pole kwanza kwa hasira!
lemme tell u somethin luv,..my mama once told me this MTI UTUPIAO MAWE NDO WENYE MATUNDA..,haters hate u coz ur making great strides in ur professional life,u have great husband who totally loves u...unataka nini tena kwa MUUMBA?

embu achana na mahater wenye sura mbaya kama PUNDAMILIA na wanuka Uchi!!!asafishe uchi wake kwanza before even thinkin of steppin your toes...BITCH ASS,UGLY FACE HATER!!!!

Teddy,wewe ni mti wenye matunda ndo maana they are hating you so bad,they can neva be you!!!!!...
U R a total knockout,hot tanzania fashionista whose livin the life to the fullest.....U GO GAL...LET UR HATERS BE YOUR MOTIVATORS!!!!!

WANUKA MIKUNDU WATABAKI HIVYO HIVYO NA UMASIKINI WA ROHO!!!

U GO GAL....U ROCK TEDDY,LET NO ONE TELL U OTHERWISE!!!!!!

no.1 fan

Anonymous said...

Mimi wamenichafua weeee sina hata hamu. tena afadhali wewe unajulika sie tusiojulika watu wetu wa karibu wanafikiri maneno yanayosemwa ni kweli. kumbe ni wivu wa mtu tu. siku hizi hata mwanaume ukimkataa anaenda kukutukana zeutamu. Pole dada

Anonymous said...

Well said!!

Can't wait for ur new commercial ma:)

Anonymous said...

Hi Babez gal!
ma` Fido kp it up
Alwayz

Anonymous said...

hey Teddy,dont waste your time even trying explaining to those people anything wewe keep your dreams rolling..sawa girl?
su

Anonymous said...

Achana nao mama wana chuki binafsi..

Krissie said...

Tell them,wamezidi sana.Mtu akiwa na hasira zake anaweka kwenye blog yake ya Uchafu walewale kutungiana hadithi Mengi kaoa yeye mwenyewe anakataa hivi mtu ukioa utakataa kweli?Na kwa nini afiche.Nimeona picha yako dada kwenye blog moja ya upumbavu mie sikufahamu but natembelea blog nyingi za bongo mara kwa mara na siku hizi kuna web ya bongo ya ujinga nimeona nadhani hawana kazi.Yale yale Ukiniudhi naenda kuanzisha gazeti likurudishe nyuma.Wabongo bwana they cant do anything productive than kusemana.UJINGA mtupu achana nao wasikurudishe nyuma Mrembo.Life is too short kuhangaika na wajinga.LIVE YOUR LIFE FULLY

krissie

Uholanzi

Anonymous said...

if there is anyone who will rise from u and her it will be u believe me,just be who u are n do ur thing darling....mbona hatumuoni ye kwenye hata bango la cocacola ...nways uta achieve a lot through tehir determination to put u down..they have done it b4 sio ?? but you hav been rising since n u will rise more ,i personaly pray for you. do ur prayers n wasamehe. stay blessed!!

Anonymous said...

"The dangerous Tanzania identification is they spy and dont like each other" (Rafiki yangu Mzimbabwe aliniambia)

Hata hapa unaweza kukuta alieweka hiyo picha na rafiki yako ambaye ana "kuspy" bila wewe kujua but all in all remember one thing,

"Live a u will die tomorrow and work har as you will live forever"

Hater hawataisha mdogo wangu, achana nao piga mzigo na maisha mungu yupo atakulipa,

"Desert Eagle"

candy said...

Oh well...it's life..there have to be those "haters" in everybody's life

T.I said "Hey never mind what haters say, Ignore them till they fade away"

so don't mind them really but i know they can be annoying

big up 2 u TK
jst a fan! it's candy1

TK said...

Thanks guys!

lili said...

go on gal,kama uivyosema haters hawakunyimi ucngizi zaidi yao kukosa ucngizi kutafuta mbinu za kukuchafulia jina.
love yu gal kip it up

naike said...

Teddy, Iam very sorry about your situation. Please ignore them, most people who put other people are down are very hurt themselves.They try to hurt other people to make themselves feel better. Having haters is one way of knowing your constantly doing something right. It's always good to have your name in someone else's mouth, keeps you popular.

REMEMBER YOU HAVE THE POWER. The most simple way to deal with a hater is not to deal with them at all Teddy.

Anonymous said...

Hi TK!

U dont know me, but I have seen u risen up TK, from Bingoo ITV (remember that?)up to now. My dear you are moving up very nicely, you are shinning my dear! You are progressing very well, and gurl; dont listen to people who have nothing to do, yes loosers. Keep moving on. Kila siku naingia humu kuangalia what u are up to and I am impressed to where u have reached my dear. All I can say is "Keep it up! Umeonyesha mfano mkubwa sana. Graph yako inapanda. Love u baby u r great!!

Sarp said...

dah,so sad to see this happened to my fellow blogger.Jamani inauma sana kuwekwa na kuandikwa mabaya huku wakiwa wanaongea vitu ambavyo hujawahi fanya lakini kwao wanakuwa na vicheko...Anyways TK,live yo life mah n pop up yo colla.But ngoja niseme kitu mtu akikuongelea ni lazima wewe upo juu yake coz hakuna mtu anayemuongelea mtu ambaye hamzidi,kuna kitu unawazidi n dats a reason inawafanya wawe na mapya ya kuongea.Thanks

Mattylda R. said...

Very sorry TK,haters will not end up there,u should keep ahead ur life and talents u have!
Haters will remain underneath always!
hebu TK rejea hii mistari kidogo
"Maneno ya mkosaji hayanikoseshi..................."

Ishi upendavyo ma darling sio wapendavyo walimwengu,hao haters wapo tu wala wasikupe presha u just ignore them!!!!!!
pole sana mrembo wangu!

Anonymous said...

ooh pole kwa yote my dear TK, kuna watu i dont know wana shida gani, kwanini baadhi ya watz wanatabia mbaya kiasi hiki. kila mtu afanya kazi kwa maendeleo yake na sio kuchafuana na kuoneana kijicho,tuweni wachapa kazi jamani ili tuendelee na sio ukiona flani kafanikiwa unaanza ooh flani yuko juu si bure atakuwa fisadi au mchinja albino. real i hate tabia hii.

Grace-VA

TK said...

Thanks everyone!

Well, at first I thought haters wapo kwa ajili ya kurekebisha tabia but it seems like most of them are just angry and crazy... waharibifu tu.

farida said...

u know what mamii....what doesnt kill you makes you fill stronger.
u stil rock.......2napagawa na kile tunachokiona an nat kuhadithiwa. an what i see now ni mafanikio yako beauty. Be Blsd. mmmwwwwwwwwwwa!

Anonymous said...

pole dada yangu ubinadamu kaziii na ni wachache waliobarikiwa akili za kuwatosha ....yo kip doing yo thang wacha waseme....!!

Total Knockout Search!!

Custom Search