Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, January 15, 2009

Utunzaji wa Kucha Unaongeza Urembo Kwa Mwanamke.



Kucha:
Utunzaji/ upakaji rangi wa kucha uhamasisha na kuongeza urembo wa mwanamke.

Wengi tunafahamu urembo wa mwanamke uko kwenye utunzaji wa nywele, ngozi n.k

Lakini pia kuna siri moja ambayo wadada wengi ujituma kufanya bila kujua kuwa kuna mabadiliko makubwa uweza tokea ndani ya muonekano wao.... kuongeza au kupunguza mvuto, kuuvuruga au kutambulisha unadhifu wako.

Hivyo basi ni vizuri kujielewa unadhifu wako katika idara mbali mbali za urembo. Kama staili haiendani na personality yako iache ipite. "Urembo wa kucha waongeza mvuto wa mwanamke"!

3 maoni / comments:

Anonymous said...

CHUKA???

i think you meant to say KUCHA !

Anonymous said...

u can neva go wrong with metallic inspired polish....omg thet're so in...

no.1 fan

Anonymous said...

hey tk, i luv u jus veryy veryy much ur absoultly stunnin..wel m bout to get married, m in UK na si unajua mambo ya saloon huku expe so i wanna make ma own kucha za bandia fo ma wedo can u advice..zipi ambazo zitakwua easy?nataka kupunguza gharama

Total Knockout Search!!

Custom Search