

Pichani jana: waliopendeza zaidi Angelina Jolie na gauni lililobuniwa na Max Azria, Teri Hatcher na kivazi cha Monique Lhuillier, Mindy Kaling dada wa kihindi mchekeshaji ktk tamthilia ya The Office akiwa ndani ya blue BCBG dress, na wa chini kabisa ni binti Andrea Bowen.
Kwa mtazamo binafsi wa haraka haraka, magauni haya yanaweza kuvalika bongo bila tatizo kabaisa.(ya kiheshima!)
0 maoni / comments:
Post a Comment