Hii ndio hali ilivyokuwa siku ya jumapili nyumbani kwa wadau wa Total-Knockout blog, West Hollywood, CA.



Pichani wa kwanza kutoka kushoto Julius Temu, Evelyn, C.E.O Cody Haight, Lucky, Teddy Kalonga na Camille LaBry. Picha inayofuata Helen, Michael Cade wa California Dreams (superstar wa utotoni) pamoja na wad
au

Photos by: Joseph R. Davis
Sponsor: Konyagi/usa
15 maoni / comments:
HONGERA N HAPPY ANNIVERSARY...LOVE NURU
Mmmmh Tk,sasa mbona hukunialika tuje tule keki hiyo?!ungenambia ningechukua pipa mimi na kuja lol,ila hujachelewa naomba nitumie hiyo kipande cha hiyo cake kwenye facebook.Inabidi nitume application kumbe kampuni kubwa mpaka C.E.O?!si mchuzo.All in all Happy Birthday naona ushaanza kusimama umetoka kutambaa, lol! tunategemea mapya na mazuri zaidi ya mwaka jana.Happy Birthday once again
Mmependeza. Inavyoonyesha party ilikuwa si ya kitoto! Teh teh tehe
Happy Anniversary!i'm sad i wasn't there to share your special day..You looked so beautiful,you,cody and your friends mmependeza sana! Thank you for sharing your pics:)
Bff..
ooh ya'll luk FAB!! especially u TK...bila kusahau the cake...lol anyways Big UPs to Total Knockout!
Poa imetulia
Hongera dada..
wow!! kweli siku hazigandi...congrats TK KWA KUENDELEZA LIBENEKE..KEEP ON KEEPING!!GALFRIEND....MH MIE KEKI TU !!
Hongera TK!
Hongera sana Dada. Unastahili pongezi kwa kutimiza mwaka. Nasi ma-rookie twaja na kwa kufuata nyayo zenu wakongwe naamini tutafika. Tuko pamoja daima.
Blessings
hongera TK natambua jinsi gani kublog ilivyomshike mshike..
kila lakheri katika ulimwengu wa Keybord..
am happy for you may god bless you.
Rock it gal...keep the ball rollin.
Mdau
tk baby ur hot na mnapendeza na mumeo....i luv u so much sweety. J
Congra... Keep it up TK!
-2hongera sana Dada yangu kwa kufanikiwa kutimiza mwaka mmoja katika libeneke la blog,hongera sana tena saaaaana.
Post a Comment