SAG Awards:Kumbe gauni la Angelina Jolie lilikuwa limevaliwa backwards!?...Yeah, bwana. Watu walianza kuzungumzia kwa kusema kuwa ni mwembamba sana so alikuwa anaficha mifupa ya kifuani, wengine wanadai alitaka kuonyesha tatoo zake za mgongongoni... hmmm!
Lakini kwa kukata kilimilimi akaulizwa na kujibu:"I just like to be comfortable. I see what comfortable options are out there".. Inaweza ikawa style yake eh!...
2 maoni / comments:
I don't see like the same gauni ooh macho yangu? They make for her not exaclty as the model wore
Ni gauni hilo hilo anonymous. Angelina alilivaa nyuma mbele,mbele nyuma. Nimeona hata kwenye magazine mmoja hivi wanalizungumzia.
Post a Comment