Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Friday, December 26, 2008

Duh!? Hapa Diddy Kajizaa...






















Pichani Sean Combs akifanya shopping ya sikukuu na mtoto wake Christian Combs.

Thursday, December 25, 2008

Eartha Kitt (1927-2008).


Eartha Kitt, mwanamuziki aliyejulikana sana kwa wimbo 'Santa Baby', afariki dunia.


Merry Christmas!!!











Merry
Christmas wadau!!!

Total Knockout crew is wishing you a wonderful blessed Holidays...
Love ya' all!

xoxo crew


Photos: In Seattle yesterday. (ze baridizzz.lol!)

Wednesday, December 24, 2008

Mama Oprah: Heri ya Christmas na Mwaka Mpya...





Hi TK
Naitwa pamella au mama oprah mm ni msomaji mkubwa wa blog yako kwanza kabisa kabla ya yote nakupa 5 kwani unatuwekea vitu roho inapenda nadhani kila mtu anaenjoy asie enjoy noma kwake, mm na mwanangu best tungependa kuwatakia watanzania wote popote pale walipo Merry Christmas and Happy New Year!

Sunday, December 21, 2008

Wadau wa UK 2008...

Mwaka 2008 ulikuwa mwaka wa mabadiliko na mafanikio.... kuna waliofanikisha na walioko njia kufanikisha. Kwa upande wa wadau wa UK, leo wamepata nafasi ya ku'share na Total knockout moja kati ya matukio yaliyojiri mwaka 2008. Kwa niaba ya Total Knockout crew ningependa kusema Shukrani!!!

Pichani wa Kwanza kutoka kushoto Jesse Malongo mdau wa Leicester joint na Club Afrique akiwa ndani ya black suti na pink shirt, wa pili Mr. Juma Pinto, Diego Ruzana na Gerald Regarzs wakiwa wametulia kumbini kwenye usiku wa leo Jahazi Taarabu katika kuhakikisha mambo yanaenda sawa.

Chini wakina dada na mavazi ya taarabu na vimtandio vya kiushikaji ndani ya usiku wa Jahazi Taarabu huko UK!

Zaidi, check out Jesse's blog=>
http://matukiouk.blogspot.com/

Saturday, December 20, 2008

Star Yupi Kapendeza Zaidi?...

Nani kapendeza zaidi?... Vivica A. Fox vs Brandy, Lindsay Lohan vs Carmen Electra, Liv Tyler vs Eva Mendes, na Paris Hilton vs Teddy Kalonga (me)!


Monday, December 15, 2008

Heidi Klum Presents' "Germany's Next Top Model"!?!
















Hii kweli kali
.. Heidi Klum Presents Germany's Next Top Model!

Kama ulishawahi kusikia mume wa Super model huyu Seal kabla hajatoka nae alishatoka na Tyra Banks, pili unajua kuwa Tyra ana Talk Show yake on TV, na shosti nae yuko na show yake ya Project runway, tunafahamu kuwa mbali na talk show, Tyra pia ana run American Next Top Model.

Sasa Heidi Klum nae a'presents Germany's Next Top Model!?!...
Hii kali!... Hapa mdau unaionaje hii? Heidi anavutiwa na Tyra au?...

MWANA FA, AY NA C4 DJS UNIT KUFUNGA MWAKA ARUSHA ...


Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya (AY) na Hamis Minyijuma (MwanaFA) wanaotesa katika anga ya muziki kwa sasa, wanatarajia kutoa burudani ya aina yake kwenye uzinduzi wa kundi la C4 DJs linaloundwa na wachezeshaji muziki ambalo linatarajiwa kuzinduliwa rasmi katika mkesha wa sikukuu ya Krismas ndani ya Ukumbi wa Triple ‘A’ jijini Arusha. Kundi hilo linaundwa na Ma-DJ wenye uzoefu wa siku nyingi wakiwemo DJ Joe, DJ Peter, DJ Gerry na DJ A-Plus. Pia kutakuwa na Madj wengine wakali kusindikiza uzinduzi huu wa aina yake.

Aidha maandalizi kwa ajili ya uzinduzi huo na sherehe za funga mwaka yanaendelea vizuri hivyo mashabiki wakae tayari kupata burudani ya aina yake. Uzinduzi huu ndiyo mwanzo wa mfululizo wa burudani ndani ya Ukumbi wa Club Triple ‘A’ hadi mwaka 2009.

MaDJ hao wa kitanzania waliobobea katika fani hiyo wameamua kuzindua umoja huo ili kuonyesha kwamba wapo pamoja na watatoa kipaumbele kwa wahusika wote katika tasnia hii. Baada ya uzinduzi kutakuwa na program ya burudani kabambe ndani ya Ukumbi wa Triple ‘A’.

Siku ya Krismasi kundi la C4 litaandaa onyesho litakalofahamika kama ‘White Party’ambapo wateja watakaopendeza ndani ya mavazi meupe watapewa zawadi kemkem za papo kwa papo.

Na kwa mara ya kwanza katika historia ya burudani katika Ukumbi wa Triple ‘A’ Arusha kutakuwepo na shindano la kumsaka malkia wa Desemba (Miss Desemba). Shoo hiyo itafanyika usiku wa tarehe 26 Desemba. Shoo hii ya aina yake itawahusisha warembo kumi wenye vipaji mbali mbali.

Burudani ya Funga Mwaka katika jiji la Arusha inatarajia kuleta mageuzi makubwa katika fani ya muziki na burudani nchini Tanzania.

Funga mwaka hii itatoa fursa kwa C4 DJs kupata fursa ya kuonyesha umahiri wao katika kupangilia muziki ikiwa ni moja ya lengo la kuendeleza fani hiyo ya muziki ambao ulishika chati zaidi katika miaka ya 80 na 90 kabla muziki wa dansi haujateka soko na watu kuwapa kisogo maDJ.

Katika kuhitimisha Funga Mwaka Kundi la C4 limeandaa bonge la Bethdei party kwa ajili ya kusherehekea mafanikio ya Club Triple ‘A’ zaidi ya miaka kumi.

JOSEPH NAMALOWE (DJ JOE)

MRATIBU

Sunday, December 14, 2008

Miss Russia Ashinda Miss World 2008.

Mrembo wa Russia Kseniya Sukhinova(21), anayesomea degree ya u'engineer atwaa taji la Miss World 2008 huko Johannesburg, South Africa mashindano alipofanyika.



Chini Miss Russia now Miss World (centre), first runner up Miss India Parvathy Omanakuttan (left) and second runner up was Miss Trinidad & Tobago Gabriel Walcott (right).

Saturday, December 13, 2008

She's More Than A Make-Up Artist, She's... Camille LaBry!


Camille LaBry, a former model and actress, turned professional make -up artist.

TK: Why did you decide to be a make-up Artist?

Camille
: "I started off as an actress and a model, and of course I had to do my own makeup often. I picked it up quickly, practicing on my friends. Soon I started to book paid jobs, and after awhile I thought to myself, 'I should really go to makeup school!' And here I am - in love with being a makeup artist."

Anasema:"If there are two words to accurately describe both sides of my family, they would be Artists and Entrepreneurs. In order to progress, I study all trends, marketing, strategies, and possiblities for growth. However, I never lose the Golden Rule: Always please the client first!!"

I know Camille from working with her on photo shoots, she is an amazing and talented lady. She is very good at what she does, honestly. I feel very comfortable when her hands are busy on my face! And there is one thing I like most about her make-up, eyebrows!! It's amazing the way she can draw my eyebrows. She also does film, art, casually and Classy look! Pia yuko available for weddings, headshots , photoshoots, red carpet, tutorial sesions etc.

Check out more of Camille's world=>

http://www.camillelabry.com/home


Friday, December 12, 2008

Smiley Face nails...

Rihanna at the Capital FM Jingle Bell Ball concert in London yesterday. kama kawaida yake... looking great in a black jumpsuit and Smiley face nails.

















I'm into it too, it's such a cute color!

Thursday, December 11, 2008

Khloe Kardashian Ndani Ya Kampeini Ya Kutetea Haki Ya Wanyama...


Khloe Kardashian
on a Billboard for the new PETA holiday campaign.


Anasema: "I am so honored to have been asked to do this PETA campaign. Women such as Eva Mendes, Christy Turlington, Holly Madison, and Christina Apple gate all have done this campaign, and to be in the company of these beautiful women is an honor!"...

Wednesday, December 10, 2008

TID Aachiwa huru...

What a good feeling!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Khalid Mohammed ‘maarufu kama TID’ aliyekuwa akitumikia kifungo cha mwaka mmoja katika gereza la Segerea, jana aliachiwa huru kupitia msamaha kwa wafungwa uliotolewa na Rais Kikwete katika maadhimisho ya miaka 47 ya Uhuru.

Habari zaidi => Tanzania Daima


Angalia wimbo wake wa "Siamini"-TID, angalau uvute mahisia kidogo...

Tuesday, December 9, 2008

Happy Independence Day!








Miaka 47 iliyopita, siku kama ya leo; Uhuru wa nchini nzuri iitwayo Tanzania ulizaliwa.
Happy Uhuru Day kwa watanzania wote popote pale mlipo!!!

Ujumbe binafsi
: Watanzania tunasifa ya amani ambayo inaletwa na upendo tuliokuwa nao, hivyo basi si vibaya kama tukauendeleza kwani kwenye upedo kuna mafanikio na mambo yote uenda sawa.

Pichani chini ni mheshimiwa, pia mdau mkuu anayesuuza mioyo ya wasomaji wengi wa blog za kiswahili ulimwenguni, Issa michuzi akiwa katika tukio la sherehe hiyo katika uwanja wa taifa huko jiji Dar-es-salaam.

Monday, December 8, 2008

Special Feats: Kanumba's New Website!


Kwa uchunguzi binafsi nilioufanya, nimeweza kuona kuwa actors wa kwetu wana'uwezo mkubwa wa kutuburudisha. Ingawa wengi wetu tumejijengea tabia ya kupenda movie za nje e.g za ki'nigeria, magharibi na n.k, lakini ukweli ni kwamba actors wetu wanakiwango kikubwa cha kusuuza nafsi zetu.

Unaweza kusema kilichokuwa kinawarudisha nyuma ni unazifu wa vyombo vinavyotumika kama camera, editing, n.k, lakini hilo sidhani kama ni tatizo tena kwani siku hadi siku vifaa ubora unaongezeka na ma'actor wakali... So kinachotakiwa ni kuwapata nafasi tu ya kuangalia kazi zao... I dare you!... ukianza kuangalia hutokuwa interested tena na movie za nje. Wa kwetu wakali! I mean it!

Kanumba ni mmoja kati ya waigizaji wakali nchini ambao wanajituma sana katika kazi za uwigizaji. Hivi punde amefanikiwa kufungua website yake na kuiita Kanumba's world.
Check this out http://www.kanumba.com/

Sunday, December 7, 2008

Hapa Mdau Nilikula Shavu Kiaina...


















Purses Boutique High Fashion Handbag:

Flat Tote Purses $ 78.00, including Bronze Jessica Simpson 'Kane Clutch'' Handbag.

Check this out=> http://purseboutique.com/

Saturday, December 6, 2008

KANYE WEST vs STEPHEN COLBERT...

The Colbert ReportMon - Thurs 11:30pm / 10:30c

Ohh man, you gotta watch this... komediani mkubwa atoa album na kumfunika Kanye West kwenye 'top sales on iTunes. Ilianza kama utani tu katika kuaandaa album hiyo ''The Colbert Christmas'', komediani huyo alisema Kanye alijidai kumfunika 50cent safari hii lazima nimfunike nae atulize makeke.

Na kweli bwana, ikatokea album ya jamaa ikafanikiwa kushika nafasi ya kwanza na "808s and Heartbreak"ya Kanye kusimama kwenye nafasi ya nne na ndipo mpambano huo ulipoanza. Kanye akarusha dongo: "who the f*** is Stephen Colbert!?"... Duh!?

Friday, December 5, 2008

Cynthia Masasi Ndani Ya Ride Remix - By Ace Hood.

























Song hili jipya linalotamba sana Dirty South, Ride.

Wimbo uliopigwa na Ace Hood na kuufanyia remix akiwashirikisha wasanii chipukizi Rick Ross, Trey Songz, Juelz Santana, T-Pain na wanamuziki wengine wakiwemo kwenye video kama kummpa kampani mshikaji.... Ray J, Akon, na washikaji kibaooo.

And of course featuring our home girl Super Model Cynthia Fierce!!! Oooops,...It's Cynthia Masasi! Yay!... Kwenye video hii akiwa ni mmoja wa ma'model husika!

Bonyeza hapa kuangalia video=> Ace Hood-Ride Remix

Thursday, December 4, 2008

Janet Jackson - Miss You Much...


M...I...S...S you much! oh! nitafurahi sana kama nikiwa nimekugusa katika kuku'kumbushia song hili la long time lililotamba sana mwaka 1989, lililopigwa na bibie Janet Jackson.
Shut out to all of you who feel this song... mzee wa Jukebox, Kitenge upo hapo!?!

Wednesday, December 3, 2008

M.I.A Ndani ya Cover ya SPIN Magazine + So Preg!















Ndugu msomaji wa Total Knockout! kama wewe ni mpenzi wa muziki na hakika kabisa katika chokonoa chokonoa yako utakuwa uliwahi pata nafasi ya kumsikia binti huyu waki'British na ki'Sri Lanka mwenye mikogo na staili ya aina yake.

Anakwenda kwa jina la M.I.A, binti huyu mwenye makazi yake mjini London ambapo ndiko alikokulia na ndipo kipaji chake cha muziki kilipogundulika. Si kipaji cha muziki tu bali hata uchoraji pamoja na u'designer binti huyu amejaliwa, pia uvaaji, sauti na utofauti wake wa upigaji wa muziki ndio kitu kikubwa hasa kinachompandisha chati.

Pichani akiwa kwenye toleo la December ndani Spin Magazine.

Her link to myspace=>http://www.myspace.com/mia

Tuesday, December 2, 2008

Kisura wa Ghana, Anyakua Taji la M-Net Face of Africa 2008.

Kate Tachie-Menson(22) mrembo kutoka Ghana, usiku wa jumamosi ndani ya ukumbi wa Superbowl, Sun City huko Africa ya kusini atangazwa kuvikwa taji la Face of Africa.

Ambapo pia kushinda huko kutaambatana na donge nono la kitita cha dola $50,000, pamoja na mkataba wa miaka mitatu wa O Model Africa Agency inayomilikiwa na Supermodel Oluchi Onweagba-Orlandi.

Check out the video:http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/BrowseVideo.aspx?ChannelId=25&vid=9679

Total Knockout Search!!

Custom Search