Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, February 11, 2008

Happy Valentine's Day!!

Wafahamu kuwa Mwanamke ana nguvu ya kuzuia kasi ya maambukizo ya ukimwi?...
Ni kweli kuwa Ukimwi hauna tiba, lakini unazuilika! Pamoja na kwamba ni miaka 25 imepita, tangu kufahamika ugonjwa wa Ukimwi lakini bado mpaka sasa hatujafahamu ni kwanini watu wanashindwa kujikinga na maambukizo mapya ya HIV. Ingawa ni kweli kwamba bado hatuna jibu, lakini tujaribu kujiuliza ni nini hasa. Tunaweza kusema, umasikini ni moja ya tatizo linayokwamisha upigaji vita juu ya maambukizi ya gonjwa hatari la ukimwi. Maelewano dhaifu baina ya wapenzi vinamnyima mwanamke haki yake ya kuweza kujizuia na maambikizo ya virusi vya ukimwi.

Kwa mfano wanaume wengi wanatabia ya kukataa kutumia condom, kwa kudai kuwa wanataka kusikia utamu!!! Je, jinsi gani tunaweza kuwawezesha wanawake kusisitizia wapenzi wao watumie condom?... Siri ni kwamba wanawake tumeumbwa na nguvu ya asili, na tuna uwezo wa kumshawishi mwanaume kwa kuongea naye kwa sauti nyororo atumie Condom. Na kama ukimwona anakataa katu katu basi huyo mtu hakutakii mema, na wala usimpe utamu!!!

Toka mwaka 1994 company kubwa ya vipodozi M·A·C kutoka Marekani imekuwa ikisaidia kutoa mchango juu ya kupiga vita maambukizi ya ukimwi. Mpaka sasa imefanyikiwa kupata $100 million. Lipstick ya VIVA GLAM ni moja ya vipodozi ambavyo ma'superstar wamekuwa wakitumia kwa kutangazia campaign hiyo, akiwemo Eve na Dita von Teese. Ambapo 100% ya fedha inayopatikana unaenda kwenye mfuko maalumu wa kuchangia kupiga vita maambukizo ya virusi vya ukimwi. Pichani nilipotembelea moja ya duka la M·A·C na ku'support zoezi hilo kwa kununua vipodozi ikiwemo dark red lipstick ya kwanza kutoka kulia!

A special Valentine's Day message from Total Knockout!!

Usisahau: Akikataa kutumia condom, usimpe utamu!!











-Written by wadau wa blog hii, Cody Haight na Teddy Kalonga Haight!

7 maoni / comments:

Anonymous said...

HAPPY VALENTINES DAY TO YOU LIL'TK!
WHERE HAVE YOU BEEN GALFRIEND?
I HAVE BEEN LOOKING FOR YOU FOR SO LONG. THE TV WITHOUT YOU IT'S SOOOO BORING MY DEAR! I DON'T REALLY SEE THE POINT OF RUNNING BACK HOME TO WATCH TV ANYMORE,WHILE I WAS DOING THAT WHILE YOU WERE HERE. BELIEVE ME! YOU WERE SO REALLY, SO ALIVE! AND NOW EVERYTHING I SEE IT'S FAKE TO ME! TRUE THAT!

REGARDS,
LAURA

Anonymous said...

Wishing you a very Happy Valentines Day, sweetheart! Mupe Hi, shemeji yetu!Lol

Anonymous said...

Where did you both go at the Valentines day dada tk? Hey, by da way I luv ur blog babygal. Inawakaaa!

Luv,
Esther

lullaby said...

great...article t,u were right on point ..i agree with everything u said, watu bado wako backwards kifikira i cnt believe that to this day...bado wanaogopa kuongelea wazi kuhusu ukimwi.


xoxo
Lullaby.

Teddy Kalonga said...

Thats right bff! Kwa kuwa wengi tunafahamu kuwa ni tatizo sugu, basi tunajikuta tunaogopa kulizungumzia!

Anonymous said...

TK u kno ur soo smart girl and im soo proud of u..i agree with u 101% kwa sababu ukimwi upo na unamaliza watu kwa hiyo inabidi tuelimishane kuhusu jinsi ya kuepukana nao..tena mimi mwanaume akikataa kuvaa condom ndio kama kaniambia nimwambie avae mbili kabisa na denda hapati..

Anonymous said...

Lady how are you?

I am a Congolese studying here in Canada. I saw some Tanzanian girls checking out your blog and we had a really heatered argument about you. I was telling them that you are from Congo and they were telling me that you are Tanzanian!

After checking out closely i came to realize that you were not who i thought you was. You see, you really look like a Congolese Model named Noella Coursaris. If you do not believe me check her photos at myspace here is the address: http://www.myspace.com/noellamodel

She has a website www.noellacoursaris.co.uk. She has opened a Foundation for African Girls named after her father. web address is www.gmalaikaf.org

Look at her pictures and you will agree with me that somehow you look like her, especially your blog foto!

anyho, i wish you all the best girl and kepp doing your thing.

JeanPhilippe Illunga

Total Knockout Search!!

Custom Search