
Cynthia Masasi ni mwanamitindo mtanzania ambaye anatikisa inchini marekani, kwa urembo na makeke yake. Mbali na hapo ni msichana ambaye amekuwa akichuana vikali na wanadada wa jamii ya kiafrika Amerika kwa kupata madili ya maana kama kutokea kwenye music videos, magazine mbalimbali, run way etc. Mwanadada huyo mwenye bidii ya kazi amefanikiwa kufungua duka la nguo mjini Mwanza inchini Tanzania, ambazo baadhi zimebuniwa naye. Kwa habari nyepesi nyepesi ni kwamba kwa sasa anasomea kuigiza na muda si mrefu tutaanza kumuona kwenye movie. Lol

